Je uliya jua haya kuhusu Clouds Media?

Status
Not open for further replies.
ze nyetis ni kuwa kuna chombo kimoja cha habari kimelambishwa mamilioni...na special task force ya kuzuia mgomo wa wafanyakazi..ili kuendesha propaganda maalum za kuwanyongonyesha na kuwatisha wafanyakazi wasije wakagoma ....maskini watu kama hao waliokubali huo mshiko wanakula kwa kuzorotesha haki za wenzao....
 
Jamani nani kawambia ukiwa na degree ndio soln ya kufabya kazi kwa ufanisi;sio nawatetea vijana wana vipaji na kama kweli awana elimu vyema washirikishwe kozi ndogo ndogo..labda kwa kifupi tu

ni marubani 5 kati ya 50 walio na degree
na wanaoendesha ndege zetu kwa upande wa atc na precission na wale wasiokuwa na degree

Mkuu huo mtihani wa kutosha tu!! Hao watakuwa na majina mengine ktk fani ya kurusha ndege ni si marubani...
 
Punguza jaziba mzee, weka point zieleweke.

Tatizo hapa si madarasa yao, ila ni uwezo wao wa kuanalyze issues mbalimbali. ni kweli wanatalents ambazo waliosoma hawana, ila kinacho waudhi wengi ni kule kushabikia mambo kuanalize kwa poor thinking issue katika jamii kana kwamba wao ndo wanafahamu au wametuma.
Mi nadhani chomba cha habari ni vizuri kikawa objective na siyo subjective. kwa kuwa kinasilizwa na wengi ni rahisi kupotosha umma kama kitakuwa subjective.

Mkuu naomba jamani sote tuwe wakweli tu kwamba hivyo vitu nilivyowekea nyekundu vinahusiana....bila ya elimu hiyo analysis lazima itakuwa limited. kama mtu haweza ku read between the lines hawezi kuwa analyst mzuri. Elimu ni msingi wa kila kitu...tusiubariki ujinga eti tuna talents....watakuwa wanasemasema tu redioni lakini hawatangazi....angalia mtangazaji anakupa takwimu anakumwagia historia hata kabla hajaingia suala lenyewe. utakuta wengine kabla hajafanya interview na mtu kwanza anaingia chimbo wiki halafu ona interview yake inavyokuwa. ELIMU KWANZA
 
hata kama ni nkweli, sio wa kubezwa kwa kazi nzuri wanayoifanya hadi kuifanya kuwa the most populat station kwa hapo dar.......... tupunguze kuabudu vyeti jamani tuangalie output, vinginevyo tutaendelea kubaki nyuma................ mi nawapongeza sana na kama ni kweli hakuna aliye hata na stashahada, basi wanhitji heshima na pongezi za ziada..............

..Mkuu ulishawahi kusikiliza kwa makini vipindi vinavyorushwa na Clouds fm? Kwa mtu aliyeelimika hawezi kufanya vile. Kuna siku Masoud Kipanya na Fina Mango kwenye kipindi cha power breafast eti wanajadili jinsi ambavyo mwanamke siku ya kwanza alipotolewa bikira alijisikiaje. Haya ni mambo ya kurusha hewani kweli na watu wakasikiliza? Pamoja na kwamba tunaangalia zaidi utendaji lakini na kiwango cha elimu kina-play big role. Si rahisi kwa graduate wa University kuanzisha mjadala kama huo. Hayo ni mambo ya Std 7 au Form 4 kwani kwao level ya kuchambua mambo ni ndogo sana.

Nawasirisha!!
 
Wadau.. degree haifanyi kazi..ila inasadia saaaana kukufanya kazi yeyote atakayopewa mhusika kwa ubunifu..ufanisi .. na uzalishaji bora pale ulipo!!! kama CMG wameamua kuajiri vipaji..haina shida.. ila hivo vipaji vngekuwa na elimu husika..CMG ingekuwa sayari nyingine kimafanikio... kwa kuajiri kwao vipaji visivyo na elimu..taratibu wanaanza kuijaza jamii yatu(isio na wasomi wengi) ujinga(na wao kutengeneza pesa kupitia akili zetu dhaifu) kupitia vipindi vyao dhaifu na matamasha yasiyo na manufaa yeyote kwa jamii yetu!!

Ninaamini kuwa asilimia wasikilizaji wakubwa wa redio hii(hasa walio majumbani, madukani, bar n.k.).. utashi wa kufikiri, maisha yao ya kila siku na utendaji wao wa kazi.. umeshaathiriwa na umbea na majungu yanayoshabikiwa na redio hii!!

I stand to be corrected!!!
 
they are all loosers who doesnt know? si ndo mtangazaji wao PJ aliepewa ofa ya kutembelea mgodi wa barrick akaja na kauli eti hauharibu mazingira, eti umeleta maendleo kwa watu wa pale, eti hautoi sumu kwenye maji! sasa kuna watu kweli apo!
 
Hii siyo media aliyoanza kutangaza Amina chifupa(RIP) akiwa bado mwanafunzi? au nimekosea.

All in all we have a big problem in our education systems, swala la reasoning capacity kwa nchi yetu inategema sana na umelelewa vipi na sio umesoma mpaka level gani! ni ngumu sana kumtofautisha form four na form six kwa maisha ya kwaida ukiondoa elimu ya kitabuni.

Kama wanaajiri darasa la 7, form four, form six ,..whoever, na wanaweza kufanya kazi vizuri whats wrong!

Au mnataka std seven, form four na form six failure wakafanye kazi wapi? maana wamefeli mitihani tu ya masaa 3 na siyo aspects nzima ya maisha

I submitt

Tatizo ndo liko hapo, hawafanyi vizuri
 
Tuwe tunachangia mada kwa kujenga na maendeleo sio ushabiki,ki ukweli elimu ni muhimu sana katika fan yoyote inayokuhusu sio lazima sana degree,lakini ukiwasikiliza sana wakati mwingine akina kibonde wanaongea hovyo, saa zingine inakupa picha kabisa kuwa elimu ni muhimu.pia ukiwa mtangazaji jaribu kuweka mapenzi ya vyama klabu au ushabiki kando,hawa jamaa wamezidisha ushabiki mpaka wanaudhi
 
we we we we we usitukane wasomi, bungeni hakuna wasomi kuna walio forge vyeti jamani acheni masikhara na mtu anayeitwa msomi, msomi hawezi kwenda kugombea ubunge,kama unabisha Muuliza Prof Issa Shivji
 
Kwa mtazamo wangu mimi naona clouds wanafanya biashara. Na ukianza biashara yoyote lazima ufanye feasibility study ujue mazingira, watu wanapenda nini na wapi kwa kupata cheap labourers eg Kibonde. Sasa basi kwa kuwa wa Tz wengi wanapenda porojo na majungu ndio maana clouds imefanikiwa kutokana na mazingira wanayo address vitu vyao na ndio maana wamewin sokoni. Na cha zaidi unatakiwa uangalie ni watu gani wa kuajiri so utakimbilia kwa cheap labour ambao mostly hawana elimu nzuri ila wanaweza kupiga porojo na majungu ambayo ndio favorable kwa watz.
 
Wadau.. degree haifanyi kazi..ila inasadia saaaana kukufanya kazi yeyote atakayopewa mhusika kwa ubunifu..ufanisi .. na uzalishaji bora pale ulipo!!! kama CMG wameamua kuajiri vipaji..haina shida.. ila hivo vipaji vngekuwa na elimu husika..CMG ingekuwa sayari nyingine kimafanikio... kwa kuajiri kwao vipaji visivyo na elimu..taratibu wanaanza kuijaza jamii yatu(isio na wasomi wengi) ujinga(na wao kutengeneza pesa kupitia akili zetu dhaifu) kupitia vipindi vyao dhaifu na matamasha yasiyo na manufaa yeyote kwa jamii yetu!!

Ninaamini kuwa asilimia wasikilizaji wakubwa wa redio hii(hasa walio majumbani,

madukani, bar n.k.).. utashi wa kufikiri, maisha yao ya kila siku na utendaji wao wa kazi.. umeshaathiriwa na umbea na majungu yanayoshabikiwa na redio hii!!

I stand to be corrected!!!

Wale jamaa ni Ma mc wa sherehe na wanajua akina nani wana hela za kuwalipa hivyo kama wateja wao wana jambo basi lazima wawapigie debe hata kama kupiga huko ni kupinga maslahi ya taifa ili mradi wao wale. Angalia lile tamasha la Malaria no More walivyoliteka, wanjipendekeza kila kazi za U mc wapewe wao. kweli wana vipaji lakini hawana fikra na kipaji bila mwongozo ni uhayawani. Wanajifanya wanjua kingereza kwa kusema 'watanzania wawe money conscious kuepuka gharama' eti ndio cost conscious, sasa huyo ni kapiteeeeni wengine je.Hii hatari na mjomba nae akili yake kama wao!
 
they are all loosers who doesnt know? si ndo mtangazaji wao PJ aliepewa ofa ya kutembelea mgodi wa barrick akaja na kauli eti hauharibu mazingira, eti umeleta maendleo kwa watu wa pale, eti hautoi sumu kwenye maji! sasa kuna watu kweli apo!

w
ale watu hatari kwa ukuuaji wa taifa,yaani kutokuwa na elimu kunawafanya wasiwe na aibu, vipaji vyao vya kuropoka na kuijipatia riziki wanavitumia vibaya, hawana tofauti na kibaka mwenye mwili mkubwa anayepora. Bahati Mbaya sana wao ndio wanaoonekana mfano wa kuingwa na wamepewa kuharibu ubongo wa vijana wa kitanzanzania. Bora vijana wote wapewe misokoto ya bangi kuliko sumu wanayolishwa na wale vipaji mropoko
 
Ndugu mbona hujasema umeitoa wapi ili tujue nani ametuma pamoja na tarehe ya bandiko hilo unaweza kukuta ni la mwaka 2000 Hutendi haki unavyoendelea kuficha taarifa zingine naomba uwajibike kuanzia sasa kwa kutoa taarifa kamili endapo utashitakiwa uwe na cha kujitetea ije ikaonekana wewe ndio mwanzilishi

ya mwaka gani kwani inasaidia nini, wakati vipindi vyao ni utumbo mtupu hadi sasa. inangekua kuna msomi kaja juzi basi tofauti ya vipindi tungeiona. wala hukuhitaji kuambiwa hakuna msomi, vipindi vyao tu vinaonyesha hakuna mwenye kitabu pale. kigezo cha kwanza pale ni ujue kipiga tarumbeta za kijinga. nina wasiwasi ndio kigezo kilichotumika kuwapa kutangaza kampeni za CCM, chochote watakachoambiwa watangaze wata copy na ku paste, hakuna wa kuuliza "why". Kwa nini TBC hawakepewa kazi hiyo wakati ndio media ya taifa!
 
hata kama ni freelances au nini lkn wanafanyakazi clouds na ni wasomi mwandishi angewataja sio kusema kila anaefanyakazi pale kaishia std 7,f4,f6
hao wasomi wanaomaliza chuo kila siku mitaani waliomba kazi wakanyimwa?maybe ni wasomi wa vyeti talent ya utangazaji hakuna
waacheni wafanye kazi yao,clouds ni clouds na tbc ni tbc
huko tbc mbona kuna baadhi vipindi hovyo tu na huko hamna wasomi?

stupid arguments! Inaelekea na wewe shule imekata kona mapema
 
Hawa vijana wamejitahidi sana kuwa wajasiriamali mpaka wanawazidi hata Maprof wetu.
Safi sana vijana wa Kusaga mmepiga hatu hata wasomi wa nz'i hii hawatii mguu kwenu.
Hata kama una zero lakini upo juu kuliko mwenye Masters big up vijana wetu walio taga wanaiga kwenu kiujasiriamali zaidi.
Mmekuwa kioo cha jamii lakiona msinunuliwe na mafisadi naona wamesha anza kumendewa wanainadi SHISHIEMU sasa.

yaelekea wewe upo tayari hata kuweka rehani makalio yako ili ule good time..huku mbeleni itabidi kuwa member humu barazani lazma vyeti vya shule vikaguliwe ama la,busara na hekima vizingatiwe.
 
Mtu ambaye nina uhakika ana digrii ambaye kwa sasa sina uhakika kama yupo clouds au ameondoka ni Sebastian Ndege ambaye alikuwa anatangaza kwenye kipindi cha Njia Panda hicho ambacho kwa sasa hakisikiki tena.

Njia panda kimerudi kila jumapili muda ule ule, kinaendeshwa na Dr. mmoja anaitwa Issac. sikumbuki jina lake la pili.
 
Jamani TANZANIA JOURNALISM SIO CAREER OF CHOICE...Hii mara nyingi ni career ambayo watu hujiunga nayo baada ya kukosa/kushindwaa kujiunga na course nyingine of Choice kama LAW, BCOM,BUSINESS, ENGENEERING, MEDICINE..nk..

fanya utafiti mdogoo tuu utagundua hilo..afterall majuzii tuu ndo degree ya journalism imeanza nchini (SAUT, TUMAINI na IJSM ikafuata)...ilikuwepo MASS COM makerere na tunafasi tuchachee achilia mbali mwamko kwa wakati huu.

Kwa hiyo kutokana na maendeleo ya elimu nchini, MMEM, MMES na sasa MMEJ tutaweza kuwa na journalism as a career of choice na soon maboresho yataonekana kwenye electronic and print media.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom