Je uliya jua haya kuhusu Clouds Media?

Status
Not open for further replies.

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
"Napenda kuchangia mada ya bw.selemani kwa kuuliza maswali yafuatayo:
1. Je, kuna mtangazaji yeyote pale clouds ana shahada au stashahada ya uandishi wa habari? Jibu hapana
2. Je, kuna mtangazaji yeyote alomaliza kidato cha 6? Jibu ni hapana
3. Kuhusu kukebehi mgomo wa TUCTA., Je, kuna mtangazaji anayelipwa zaidi ya laki 2 pale clouds fm? Jibu ni hapana
4. Overall, katika clouds nzima, in all departments, with more than 40 employees, kuna employees wawili tu wenye digrii.
5. Wengi wa watangazaji na wafanyakazi ni form four failure na std 7!!

SWALI KWA WanaJF: WITH ALL THESE CIRCUMSTANCES WHAT DO U EXPECT?

Note: i have had been working there!

Hii post nimeikuta kwenye forum moja hivi imenishtua sana, hivi kuna ukweli wowote kuhusu haya maneno.
 
"Napenda kuchangia mada ya bw.selemani kwa kuuliza maswali yafuatayo:
1. Je,kuna mtangazaji yeyote pale clouds ana shahada au stashahada ya
uandishi wa habari?jibu hapana
2. Je,kuna mtangazaji yeyote alomaliza kidato cha 6?jibu ni hapana
3. Kuhusu kukebehi mgomo wa TUCTA.,Je,kuna mtangazaji anayelipwa
zaidi ya laki 2 pale clouds fm?jibu ni hapana
4. Overall,katika clouds nzima,in all departments, with more than 40
employees,kuna employees wawili tu wenye digrii.
5. Wengi wa watangazaji na wafanyakazi ni form four failure na std 7!!
SWALI KWA WanaJF: WITH ALL THESE CIRCUMSTANCES WHAT DO U EXPECT?
Note: i have had been working there!"

Hii post nimeikuta kwenye forum moja hivi imenishtua sana, hivi kuna ukweli wowote kuhusu haya maneno.

kweli sikuwa najua.......lolololololo!!!!
 
Hii ni kama hadithi ya kipofu kumwongoza mwenye chongo.....
 
Duh ina maana Kapiteeni na Kibonde wenyewe ndio wameishia kidato cha nne au?na wala hawajasomea chochote jamani angalau hata ile certificate ya Maarifa Media au ya pale nyuma ya kiwanda cha urafiki sijui paitwa Royal aliposoma mfanyakazi wa zamani wa redio mawingu
 
Hii siyo media aliyoanza kutangaza Amina chifupa(RIP) akiwa bado mwanafunzi? au nimekosea.

All in all we have a big problem in our education systems, swala la reasoning capacity kwa nchi yetu inategema sana na umelelewa vipi na sio umesoma mpaka level gani! ni ngumu sana kumtofautisha form four na form six kwa maisha ya kwaida ukiondoa elimu ya kitabuni.

Kama wanaajiri darasa la 7, form four, form six ,..whoever, na wanaweza kufanya kazi vizuri whats wrong!

Au mnataka std seven, form four na form six failure wakafanye kazi wapi? maana wamefeli mitihani tu ya masaa 3 na siyo aspects nzima ya maisha

I submitt
 
hata kama ni nkweli, sio wa kubezwa kwa kazi nzuri wanayoifanya hadi kuifanya kuwa the most populat station kwa hapo dar.......... tupunguze kuabudu vyeti jamani tuangalie output, vinginevyo tutaendelea kubaki nyuma................ mi nawapongeza sana na kama ni kweli hakuna aliye hata na stashahada, basi wanhitji heshima na pongezi za ziada..............
 
ndo maana stori zao nyingi ni za kimahaba, ngono ngono wanawake na wanaume tuuu muda mwingi, kuhamasisha hisia kwa wasikilizaji wao. ninaweza kuamini kuwa nikweli. huwa siwasikilizi tena mimi.
 
Ndugu mbona hujasema umeitoa wapi ili tujue nani ametuma pamoja na tarehe ya bandiko hilo unaweza kukuta ni la mwaka 2000 Hutendi haki unavyoendelea kuficha taarifa zingine naomba uwajibike kuanzia sasa kwa kutoa taarifa kamili endapo utashitakiwa uwe na cha kujitetea ije ikaonekana wewe ndio mwanzilishi
 
hata kama ni nkweli, sio wa kubezwa kwa kazi nzuri wanayoifanya hadi kuifanya kuwa the most populat station kwa hapo dar.......... tupunguze kuabudu vyeti jamani tuangalie output, vinginevyo tutaendelea kubaki nyuma................ mi nawapongeza sana na kama ni kweli hakuna aliye hata na stashahada, basi wanhitji heshima na pongezi za ziada..............

uko sawa ..watanzania walio wengi uelewa wao ni mdogo ndio maana vitu popular kwenye sekta ya habari Tanzania ni vile worst......

mfano:gazeti maarufu ni Ijumaa[Limeajiri watukana fani]

Redio maarufu ni : Clouds [imeajiri wanaojiita waandishi ,kumbe ni ma MC]

NI kweli tatizo kubwa pale cluods ni shule ndogo....

kibonde alikuwa azania akaondoka na zero

Gadna alikuwa Popatilal akaondoka na zero

Kusaga pia ni almost drop out- alitoka marangu sec na zero

Lazima nikiri kuwa wale watoto wana vipaji lakini ingependeza sana uongozi wa Clouds ukaweka mipango mahsusi ya kusomesha vijana wake kozi fupi fupi especially za nje ya nchi kuanzia mwezi mmoja hadi mitatu...sidhani kama kwa mwaka clouds wanashindwa kupeleka watangazaji wake training na secondments au exchange progmrams au attachment hata watangazaji watano kwa mwaka....itasaidia sana kuwanoa na baada ya miaka 3 wanaweza kuwa na watangazaji wenye vipaji na vyeti angalau basic vya fani.....

kama hawatafanya hivyo watakaoumia ni watangazaji kwani kufanyia kazi umaarufu au kipaji ni kama mpira siku ukishuka kiwango huna kazi tofauti na wakiwa na vyeti wanaweza kuwa na mipango endelevu ya kubakia kazini....mfano mdogo kipindi kama XXL walikuwapo kina ML chris..lakiini soon he found himself good but out of time ..ikabidi aondoke awaachie vijana wanaoendana na umri wa kipindi ...kina adamu...
they must think positively on this......

pale wasomi ni wachache kama RUGE..nadhani hata mkewe kusaga ..wengine ninao wafahamu ndo kina wale..unless otherwise!!

watanzania wanapenda vitu rahisi...rahisi ...ukiangalia redio au televisheni zinazoendeshwa kisomi...wasikilizaji si wengi ...vile vile magazeti...wanapenda mtu anayoongelea fununu na umbea .kuliko real issues!!

kuhusu kupinga mambo yanayohusu wananchi kama huu mgomo..its simple jamaa wapo kwenye payroll ya muungwana...lazima iwe hivyo kwa maagizo ya utawala sidhani kama hao watangazaji wamepata mgawo....wanataka kazi!!

thats why kina masudi na waliondolewa kwani walikuwa soo critic pamoja na kuwa wawalikuwa na makosa genuine ya kiutawala!!
 
Jamani nani kawambia ukiwa na degree ndio soln ya kufabya kazi kwa ufanisi;sio nawatetea vijana wana vipaji na kama kweli awana elimu vyema washirikishwe kozi ndogo ndogo..labda kwa kifupi tu

ni marubani 5 kati ya 50 walio na degree
na wanaoendesha ndege zetu kwa upande wa atc na precission na wale wasiokuwa na degree
wapo very bright hasa wakikumbana na anga za ajabu ajabu ..ukiacha makosa madogo madogo ya kawaida
so atukatai lakini vyema wakaelezwa kujiendeleza na kujifunza kujua jinsi ya kuheshimu mahali pa kazi ni meona ma dada fulani wanatukana tukana ovyo kwenye redio na vipindi vyao dina na gea kama si kosei ukisikia vipindi vyao haata
 
"Napenda kuchangia mada ya bw.selemani kwa kuuliza maswali yafuatayo:
1. Je,kuna mtangazaji yeyote pale clouds ana shahada au stashahada ya
uandishi wa habari?jibu hapana
2. Je,kuna mtangazaji yeyote alomaliza kidato cha 6?jibu ni hapana
3. Kuhusu kukebehi mgomo wa TUCTA.,Je,kuna mtangazaji anayelipwa
zaidi ya laki 2 pale clouds fm?jibu ni hapana
4. Overall,katika clouds nzima,in all departments, with more than 40
employees,kuna employees wawili tu wenye digrii.
5. Wengi wa watangazaji na wafanyakazi ni form four failure na std 7!!
SWALI KWA WanaJF: WITH ALL THESE CIRCUMSTANCES WHAT DO U EXPECT?
Note: i have had been working there!"

Hii post nimeikuta kwenye forum moja hivi imenishtua sana, hivi kuna ukweli wowote kuhusu haya maneno.

typical.
 
mwandishi mbona hujaorodhesha dr isaac na dr ndege aliyekuwa anapresent njia panda??
je mtangazaji mzuri lazima awe na degree??
huko kulikojaa wasomi mfano bungeni mbona utumbo mtupu??
ndio maana watu wanatafuta degree,phd feki coz wanajua mnaabudu vyeti bila kujali ufanisi.
 
these guys are freelances..kipindi ni cha seba ..amemuweka huyo isaac...so not direct employed .....though wanaweza kuwa wanawasaidia indirect...and that s the only program iliyokaa kisomi ..nina maana jamaa wanafanya research, na maandalizi ya kutosha kabla kabisa ya kwenda hewani..hawaongei tu....huwezi fananisha njia panda na program za wengine pale ,ile hata TBC wanaweza kuikubali
 
hata kama ni freelances au nini lkn wanafanyakazi clouds na ni wasomi mwandishi angewataja sio kusema kila anaefanyakazi pale kaishia std 7,f4,f6
hao wasomi wanaomaliza chuo kila siku mitaani waliomba kazi wakanyimwa?maybe ni wasomi wa vyeti talent ya utangazaji hakuna
waacheni wafanye kazi yao,clouds ni clouds na tbc ni tbc
huko tbc mbona kuna baadhi vipindi hovyo tu na huko hamna wasomi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom