Je uliya jua haya kuhusu Clouds Media?

Status
Not open for further replies.
Loveness love(diploma-marketing);CBE
Gadner(diploma-materials mgt);?
B12(diploma-insurance);IFM
Adam Mchomvu(certificate-journalism);?
 
Big up clouds,kama mna workforce yenye level hii ya shule na bado mnazitoa jasho redio zote hapa nchini,mnastahili pongezi.Hata hivyo ni muhimu kusikiliza maoni ya wasikilizaji wenu.Clouds tv lini?,can't wait.

yes wanaongoza kama ijumaa na kiu zinavyoongoza kwa mauzo na kuyaacha mbali magazeti ya mwananchi na mengine..

watanzania preference zetu zipo tofaUTI?
 
Mi wanachonibore tu ni kwamba hawafanyi research ya habari zao. nyingi ni kama zimebezi kwenye majungu, hii inakera sana. kuna vipindi vya kidaku kama vile vya "leo tena" vile hata kama stori zake zisipofanyiwa research hazijalishi sana; lakini kuna vipindi ambavyo vilitakiwa viwe serious kama kile cha akina Bonge, PJ et al, (nimesahau jina la kipindi). kile kipindi kinatakiwa habari zake ziwe zimefanyiwa research za kutosha maana zinahusisha mambo ya maendeleo ya nchi. Inasikitisha sana habari inarushwa kumbe haina ukweli wowote, na hao wahabarishaji wala hawajaongea na wahusiki kupata ukweli wa mambo, wanarusha habari kutokana na majungu tu.
 
WAZEE,
Gerlad Hando vipi?
hamna mwenye dataaz zake?.....

(BTW:Mmewapiga za uso mazee....dah!:rofl:)
 
Mi wanachonibore tu ni kwamba hawafanyi research ya habari zao. nyingi ni kama zimebezi kwenye majungu, hii inakera sana. kuna vipindi vya kidaku kama vile vya "leo tena" vile hata kama stori zake zisipofanyiwa research hazijalishi sana; lakini kuna vipindi ambavyo vilitakiwa viwe serious kama kile cha akina Bonge, PJ et al, (nimesahau jina la kipindi). kile kipindi kinatakiwa habari zake ziwe zimefanyiwa research za kutosha maana zinahusisha mambo ya maendeleo ya nchi. Inasikitisha sana habari inarushwa kumbe haina ukweli wowote, na hao wahabarishaji wala hawajaongea na wahusiki kupata ukweli wa mambo, wanarusha habari kutokana na majungu tu.

kumbe habari zao nyingi ni uzushi mtupu umenichekesha sana Fixed Point badala ya kusikitika
 
Kaka ebu niambie output ipi wanaitoa wale? Sisi tunasema hivi ili wastuke waache kubweteka wakasome wapate exposure na ukisoma mathematics reasoning yako inakuwa ni nzuri sana (Logic). Msidharau shule jamani, maana kusoma wangejua hata target group wale audience na pia vitu ambavyo vinatakiwa kusemwa na vile ambavyo kama mwana habari hutakiwi kusema maana wewe sio mahakama na umepata habari tu. Lakini hata hivyo zipo redio nyingi ambazo ni upupu ebu sikizeni radio praise power muone wale waumini waliochaguliwa kutangaza wanavyo chemka, hahahaha utaona mara mia akina kibonde na captain. La muhimu hapa ni kwamba waende shule bwana.
 
hata kama ni nkweli, sio wa kubezwa kwa kazi nzuri wanayoifanya hadi kuifanya kuwa the most populat station kwa hapo dar.......... tupunguze kuabudu vyeti jamani tuangalie output, vinginevyo tutaendelea kubaki nyuma................ mi nawapongeza sana na kama ni kweli hakuna aliye hata na stashahada, basi wanhitji heshima na pongezi za ziada..............

output gani unayosemea wewe? tueleweshane jamani hapa.....!! Tusilishane upepo,lete mpangilio wa vipindi vyao vyenye MAANA.
 
Ninachofahamu ni kwamba Kibonde alimaliza Form Six ila alifeli vibaya na kupata Div. 'O'

acheni majungu ya kipuuzi JF imefika wakati mkue si kukaa na kuanza kujadili nani kafanya hivi alipata ngapi form 4 anakula api demuwake nani
wewe div 0 sio dili unajua yule dada wa NMB alipata Div 0 AKAFANYA NINI NA SASA NI NANI WA NMB
ACHENI UMBWANDINDI MTAISHIA NA MAJUNGU YASIYOFAA.....JF IMEJAA WASOMI WA MAJUNGU .....NA WANAFIKI WATUPU
MKIONA THREADS ZINAWAHUSU NDUG ZENU AMA MA BWANA ZENU WANAOWAWEKA MJINI AKUNA ANAEKIMBILIA KUKOMNET MKIONA ZA UPASHU MNAKIMBILIA KAMA MMEMWAGIWA SHAH!@#$^KUWEN HATA KIDOGO
 
Mi wanachonibore tu ni kwamba hawafanyi research ya habari zao. nyingi ni kama zimebezi kwenye majungu, hii inakera sana. kuna vipindi vya kidaku kama vile vya "leo tena" vile hata kama stori zake zisipofanyiwa research hazijalishi sana; lakini kuna vipindi ambavyo vilitakiwa viwe serious kama kile cha akina Bonge, PJ et al, (nimesahau jina la kipindi). kile kipindi kinatakiwa habari zake ziwe zimefanyiwa research za kutosha maana zinahusisha mambo ya maendeleo ya nchi. Inasikitisha sana habari inarushwa kumbe haina ukweli wowote, na hao wahabarishaji wala hawajaongea na wahusiki kupata ukweli wa mambo, wanarusha habari kutokana na majungu tu.

PB. Power breakfast!
 
acheni majungu ya kipuuzi JF imefika wakati mkue si kukaa na kuanza kujadili nani kafanya hivi alipata ngapi form 4 anakula api demuwake nani
wewe div 0 sio dili unajua yule dada wa NMB alipata Div 0 AKAFANYA NINI NA SASA NI NANI WA NMB
ACHENI UMBWANDINDI MTAISHIA NA MAJUNGU YASIYOFAA.....JF IMEJAA WASOMI WA MAJUNGU .....NA WANAFIKI WATUPU
MKIONA THREADS ZINAWAHUSU NDUG ZENU AMA MA BWANA ZENU WANAOWAWEKA MJINI AKUNA ANAEKIMBILIA KUKOMNET MKIONA ZA UPASHU MNAKIMBILIA KAMA MMEMWAGIWA SHAH!@#$^KUWEN HATA KIDOGO

Teh teh teh! mkuu unaonekana kukasirishwa sana na kitendo cha watu kujadili elimu ya vijana wa Mjengoni? Nadhani we ni mojawapo ya hao watu hapa hakuna mtu yuko hapa kwajili ya majungu.
 
Inawezekana kutokana na mambo yao wanayoyafanya inaonyesha uwezo wao wa kutafakari ni mdogo,na kupenda kung'ang'ania mambo ya kipuuzi ambayo hayawezi kumkomboa mtanzania wa kawaida.
 
Sio Clouds tu huenda na redio nyingine nako kuna watangazaji kama wa Clouds wasio na elimu ya kutosha.
 
mbona mkali sana shule imekupiga chenga, unatoa mifano ya waliofeli halafu wakafanikiwa na ujatupatia mifano ya waliofaulu na kufaniwa,toa utetezi wa maana wenye hoja na si matuis kwani hayatokufanya kuwa mshindi

Una maana PDIDY?
 
Sio Clouds tu huenda na redio nyingine nako kuna watangazaji kama wa Clouds wasio na elimu ya kutosha.

Nenda kwa Mama Rwakatare wapo kibao wamejaaa,ni waumini walio changuliwa kuendesha redio na sasa kazi imewashinda, bora na clouds vijana wao wana vipaji!
 
Watu hawakuanzisha hoja bila kuwa na evidence, fuatilia thread hii utaona . Kuna a watu wahoji ueleawa hawa watu mkuu. umeshamsikia kibonde akihukumu na kufedhuri kwenye kipindi cha jahazi? mpaka kufikia watu wakasema anataka ubunge? Na mambo wanayosema huwa hawajafanyia research kama unataka details ya mambo haya tuchart kwenye private messaging nikupe evdence mkuu. usiropoke tu wanaonekana wanaenda blindly kituambacho kinaweza kufanya waka createmaadaui wengi kwa kazi wanazofanya. kazisio ku crate uadui.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom