Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
- Thread starter
- #121
Njia panda kimerudi kila jumapili muda ule ule, kinaendeshwa na Dr. mmoja anaitwa Issac. sikumbuki jina lake la pili.
Nilikisikia juzi ndugu.
Njia panda kimerudi kila jumapili muda ule ule, kinaendeshwa na Dr. mmoja anaitwa Issac. sikumbuki jina lake la pili.
Jamani nani kawambia ukiwa na degree ndio soln ya kufabya kazi kwa ufanisi;sio nawatetea vijana wana vipaji na kama kweli awana elimu vyema washirikishwe kozi ndogo ndogo..labda kwa kifupi tu
ni marubani 5 kati ya 50 walio na degree
na wanaoendesha ndege zetu kwa upande wa atc na precission na wale wasiokuwa na degree
wapo very bright hasa wakikumbana na anga za ajabu ajabu ..ukiacha makosa madogo madogo ya kawaida
so atukatai lakini vyema wakaelezwa kujiendeleza na kujifunza kujua jinsi ya kuheshimu mahali pa kazi ni meona ma dada fulani wanatukana tukana ovyo kwenye redio na vipindi vyao dina na gea kama si kosei ukisikia vipindi vyao haata
Mi napita tu.NI kweli tatizo kubwa pale cluods ni shule ndogo....
kibonde alikuwa azania akaondoka na zero
Gadna alikuwa Popatilal akaondoka na zero
Kusaga pia ni almost drop out- alitoka marangu sec na zero
[/B]