Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 44
- Thread starter
- #21
Ridhwani anatafuta umaarufu,Hakuna uhusiano wowote na sula la DEEP Green,hawa jamaa wa mwanahalisi na wenyewe wananunuliwa
Rishwan kamaliza Mlimani Mwaka 2005 yaani mwaka wa chuo 2004/2005 na kaanz akazi pale IMMA baada ya Uchaguzi.
hii yote ni danganya toto ya kufuta mambo yote ya Lowassa,Kwani Kubenea Hamumjui anasimamia wapi???
tusimame pamoja kwa maendeleo ya kweli,Mwanasiasa wa ukweli ni MMoja tu na nitakuja kumtaja baadaye,Juzi nimepewa kuhusu yote yahusuyo Upinzani na nikiyasema aki ya mbongo nakuamini utabadili muelekeo wako,
hakuana cha Chadema wala nini
CCM ni taifa kubwa
Mwanasiasa wa kweli ni yupi huyo? Upinzani una tatizo gani? Hebu tuweke wazi
CCM taifa kubwa kivipi? Au ni taifa kubwa la Mafisadi, yaani Chama Cha Mafisadi(CCM).
Sijakuelewa bado Gembe
Ina maana Kubenea alimchafua Lowassa ili baadae aje amsafishe?
Asha