Je, Ridhwan Kikwete naye ni fisadi?

Tukirudi kwenye mada.

Ridhiwani Kikwete inabidi aje clean kuhusu kuhusika kwake kwenye kampuni la kifisadi la IMMA na jinsi lilivyotumika kuiba mabilioni ya pesa za watanzania!
 
Nawasahauri sasa turudi kwenye mada yenyewe badala ya kuondoka na kuanza mambo ya vyama .Gembe unaweza kuanzusha thread ya mambo na ukabila ndani ya Chadema .Madai ya kipuuzi na hawan hajayana nafasi .Huwezi kusema Chadema ni cha wachaga kwa maneno bila kuonyesha how ni chama cha wachaga .
angalia wabunge wa kuteuliwa wa chadema,Viongozi wa chadema then utajua nini ninachokisema.

thapa hakuna maada sababu RIz hausiki na suala la DEEP GREEN,na hana ujanja wowote,Ninachohisi na kina ukweli ndani yake,Asha,Mwafrika wa kike,mnamfahamku ridhwani kama ninavyomfahamu mimi.cha kufanya tuache blah blah na tuseme ukweli.ujiulize Balali yuko wapi?na kwanini CHADEMA walishindwa KITEO huku waliachiwa wawakilishe Upinzani?
 
Tukirudi kwenye mada.

Ridhiwani Kikwete inabidi aje clean kuhusu kuhusika kwake kwenye kampuni la kifisadi la IMMA na jinsi lilivyotumika kuiba mabilioni ya pesa za watanzania!

Hivi sio mwanachama hapa JF kama walivo kina Zitto na Mnyika? Maana huwa naona hao wanakuja kujibu hoja kwa hoja hapa.....
 
hakuna kiongozi wa ccm hata mmoja mwenye bolllzzzz za kujiandikisha hapa kwa kutumia jina lake halisi. Ni kina Zitto pekee ndio wameweza hili.

kwa sasa kuna "surrogate" zake kina Gembe ndio wanacheza hii game ya kujaribu "kumtetea" na kubadili mwelekeo wa hii thread
 
Tukirudi kwenye mada.

Ridhiwani Kikwete inabidi aje clean kuhusu kuhusika kwake kwenye kampuni la kifisadi la IMMA na jinsi lilivyotumika kuiba mabilioni ya pesa za watanzania!
Mwafrika wa kike mbona unaleta mambo ya UDAKU,natamani ningerudi Tanzania muda huu nimwambie Ridhwani ajibu tuhuma hizi na ikiwezekana awafungulie Mashtaka watu wa Mwanahalisi.

RIdhwani hana ubavu wowote wa kuhsuika na Deep Green unless kama mnaogoa kivuli chake.
 
angalia wabunge wa kuteuliwa wa chadema,Viongozi wa chadema then utajua nini ninachokisema.

thapa hakuna maada sababu RIz hausiki na suala la DEEP GREEN,na hana ujanja wowote,Ninachohisi na kina ukweli ndani yake,Asha,Mwafrika wa kike,mnamfahamku ridhwani kama ninavyomfahamu mimi.cha kufanya tuache blah blah na tuseme ukweli.ujiulize Balali yuko wapi?na kwanini CHADEMA walishindwa KITEO huku waliachiwa wawakilishe Upinzani?

haya ya Kiteto sijui yanahusiana vipi na hii thread. Naona umeanza kuishiwa hoja lakini hapa halali mtu mpaka rangi zako zote zionekane!
 
wewe si unajua utuambie as you know we dare talk openly.kata ishu dada

hili hakushiriki hata kidogo,Masha alisaidiwa sana kuwa Waziri na Lowassa na wala Jk alikuwa hamfahamu.kama unakumbuka hata wakati wakampeni pale Mwanza jimbo la Nyamagana,Lowassa ndio alimuuza Masha.

Riz sio Partner ni Mfanyakzi wa kawaida tu kama Legal Officer,na liapnagiwa kituo cha mwanza kabla ya kwenda shule kusoma na kubaki hapa dar esa salam

Ridhwani bado ni mchanga kaama siasa,anaweza saidia katika maendelo tu,na suala la kuwa kiongozi,Mie naona zitto anafaa zaidi kuwa kiongozi na Mwanakijiji anfaaa kuwa Waziri wa habari na Msemaji wa Mambo yanayohusu Ufisadi

We Gembe ni mzushi, usipotoshe. Ridhwan ni sio legal officer tu, kama unabisha muulize mwenyewe hapa 0784566299

Pia alipita tu Mwanza, ukweli ni kuwa IMMA walimpa fursa ya kusafiri mikoani kwa ajili ya kampeni- hawakumbana kama wafanyakazi wengine.

Kama Kikwete hakuwa anamfahamu Masha unataka kutumbia Ridhwan alifahamiana vipi na Masha? Kama Kikwete hakumjua Masha ile network ya Mererani nani alikuwa akiiratibu

Ni kweli Lowassa alikuwa na vested interest na Masha, lakini alimuingiza Ridhwan katikati ya kilinge na Kikwete alijua yote. Ambacho nilikuwa sifahamu mimi tu ni kama Ridhwan alihusika na Deep green au ufisadi mwingine. Ndio maana ya maswali yangu.

Inaelekea una majibu ila hutaki kusema si useme jamani?

Asha
 
Mwafrika wa kike mbona unaleta mambo ya UDAKU,natamani ningerudi Tanzania muda huu nimwambie Ridhwani ajibu tuhuma hizi na ikiwezekana awafungulie Mashtaka watu wa Mwanahalisi.

RIdhwani hana ubavu wowote wa kuhsuika na Deep Green unless kama mnaogoa kivuli chake.

Ataweza kufungulia mashtaka wapi, alitishia Mkono na mabilioni yake ya wizi akashindwa ije kuwa Ridhiwani ambaye kesi yake itabidi tulete mawakili toka sehemu zote duniani kutetea gazeti la Mwanahalisi na kuonyesha namna mtoto wa raisi anavyohusika na ufisadi
 
hakuna kiongozi wa ccm hata mmoja mwenye bolllzzzz za kujiandikisha hapa kwa kutumia jina lake halisi. Ni kina Zitto pekee ndio wameweza hili.

kwa sasa kuna "surrogate" zake kina Gembe ndio wanacheza hii game ya kujaribu "kumtetea" na kubadili mwelekeo wa hii thread

Mie ni mpenzi wa CCM,ila CCM yaliyoipenda Mwalimu na walasio CCM hii ya sasa ya wafanyabiashara,mie namfahamu RIZ muda mrefu kama mdogo wangu.nachokifahamu mie Hausiki na suala hili.Mbona Dr. Slaa hakumtaj wakati wa List of Shame??

CCM ni chama Bora ila kimeingiliwa na Mafisadi.
 
We Gembe ni mzushi, usipotoshe. Ridhwan ni sio legal officer tu, kama unabisha muulize mwenyewe hapa 0784566299

Pia alipita tu Mwanza, ukweli ni kuwa IMMA walimpa fursa ya kusafiri mikoani kwa ajili ya kampeni- hawakumbana kama wafanyakazi wengine.

Kama Kikwete hakuwa anamfahamu Masha unataka kutumbia Ridhwan alifahamiana vipi na Masha? Kama Kikwete hakumjua Masha ile network ya Mererani nani alikuwa akiiratibu

Ni kweli Lowassa alikuwa na vested interest na Masha, lakini alimuingiza Ridhwan katikati ya kilinge na Kikwete alijua yote. Ambacho nilikuwa sifahamu mimi tu ni kama Ridhwan alihusika na Deep green au ufisadi mwingine. Ndio maana ya maswali yangu.

Inaelekea una majibu ila hutaki kusema si useme jamani?

Asha

Amejaribu kubadili mwelekeo wa thread ameshindwa na sasa utaona anaanza kulia kama mtoto muda si mrefu! kwi kwi kwikw i kutetea ufisadi ni kazi ngumu sana na Gembe hakuijua vyema kabla ya leo
 
Mie ni mpenzi wa CCM,ila CCM yaliyoipenda Mwalimu na walasio CCM hii ya sasa ya wafanyabiashara,mie namfahamu RIZ muda mrefu kama mdogo wangu.nachokifahamu mie Hausiki na suala hili.Mbona Dr. Slaa hakumtaj wakati wa List of Shame??

CCM ni chama Bora ila kimeingiliwa na Mafisadi.

Kutokutajwa kwenye list ya Slaa sio tiketi ya kutokuwa fisadi. Ule ulikuwa ni mwanzo tu ambao umetuletea haya yote tunayojua leo - au hili nalo utasema kuwa ni swala la wachaga?
 
Mwafrika wa kike mbona unaleta mambo ya UDAKU,natamani ningerudi Tanzania muda huu nimwambie Ridhwani ajibu tuhuma hizi na ikiwezekana awafungulie Mashtaka watu wa Mwanahalisi.

RIdhwani hana ubavu wowote wa kuhsuika na Deep Green unless kama mnaogoa kivuli chake.

Kumbe unawajua wenye ubavu wa kuhusika na Deep Green. Hebu wataje basi jamani Mkombozi Ufisadi ili Ridhwan asihusishwe aweze kugombea Urais mwaka 2020

Ataweza wapi huyo kwani muda si mrefu ataanza kupinga kuwa Ridhiwani Kikwete hafanyi kazi kampuni ya IMMA na hana uhusiano wowote ule na IMMA.
 
GT unasoma kwa hasira nini? Kama kuna conflict of interest hebu sema jamani. Mbona mi nimeuliza swali tu? Soma tena michango yangu

Asha

kuna mambo mawili hapa:

1) Kwanza kichwa cha thread hii imeconclude kuwa RIDHWANI ni fisadi

tulikuuliza evidence ziwapi utaja leta Link ya gazeti then ukauliza maswali

2) Pili tukakujibu kuwa mwenye majibu ya maswali uliyoyauliza ni wewe...sasa hapa ndipo tukakueleza kuwa wewe ndiye mwenye majibu ya maswali uliyouliza na nadhani ukitujibu basi itakuwa rahisi kwako kufikia conclusion ya kichwa cha hii thread unless umeileta as a bait
 
Nadhani kichwa cha habari hii kina alama ya kuuliza - hii sio conclusive remark unless una definition tofauti ya hili
 
kuna mambo mawili hapa:

1) Kwanza kichwa cha thread hii imeconclude kuwa RIDHWANI ni fisadi

tulikuuliza evidence ziwapi utaja leta Link ya gazeti then ukauliza maswali

2) Pili tukakujibu kuwa mwenye majibu ya maswali uliyoyauliza ni wewe...sasa hapa ndipo tukakueleza kuwa wewe ndiye mwenye majibu ya maswali uliyouliza na nadhani ukitujibu basi itakuwa rahisi kwako kufikia conclusion ya kichwa cha hii thread unless umeileta as a bait

Sister Mwafrika

Nakwambia! Tutaona mengi leo. Sasa mpaka GT naye hajui tofauti ya Swali na Conclusion. Mbona jamani mnazidi kunipa shaka kuhusu Ridhwan?

Nipeni majibu ya maswali yangu jamani

Asha
 
Kumbe unawajua wenye ubavu wa kuhusika na Deep Green. Hebu wataje basi jamani Mkombozi Ufisadi ili Ridhwan asihusishwe aweze kugombea Urais mwaka 2020

Asha
Muulize Dr. Slaa anawajua au Muulize Lissu.Mie simtetei RIZ ila naeleza ukweli kuhus Riz.

Kwani chadema hamna sera Nzuri zaidi ya kuchukua mabaya ya CCM ili myasemee?tafuteni sera yenau na ndio maana huwa mnashindwa katika uchaguzi wenu!

Mie nitawaunga Mkono kama mkinihaidi yafuatayo.

Mna Mkakati gani wa kuhakisha mnashinda uchguzi wa 2010.,2015 na 2020,Asha naona una mahusiano na RIZ mpoaka kakwambia anataka kugomba 2020?
 
Huyu bwana mdogo alipewa gari aina ya BMW X5 na Johnson Lukaza. The guy is dumb as hell waulize waliokwenda naye mlimani. If not for his last name I doubt that he would have graduated from UDSM law school. Kama IMMA inaweza kuajiri huyu na Fatma Karume una maana wao hawajui wanacho kifanya? Kazi zote serikali ya Zanzibar lazima zipite kwa huyu dada. And by the way both of them are Partners in the Law firm.Go Figure!
 
Sister Mwafrika

Nakwambia! Tutaona mengi leo. Sasa mpaka GT naye hajui tofauti ya Swali na Conclusion. Mbona jamani mnazidi kunipa shaka kuhusu Ridhwan?

Nipeni majibu ya maswali yangu jamani

Asha

Hawana hayo majibu na walijaribu kukumbatia nyuki na zimewauma sasa wanakimbia kujaribu kubadili mwelekeo wa mjadala.
 
Muulize Dr. Slaa anawajua au Muulize Lissu.Mie simtetei RIZ ila naeleza ukweli kuhus Riz.

Kwani chadema hamna sera Nzuri zaidi ya kuchukua mabaya ya CCM ili myasemee?tafuteni sera yenau na ndio maana huwa mnashindwa katika uchaguzi wenu!

Mie nitawaunga Mkono kama mkinihaidi yafuatayo.

Mna Mkakati gani wa kuhakisha mnashinda uchguzi wa 2010.,2015 na 2020,Asha naona una mahusiano na RIZ mpoaka kakwambia anataka kugomba 2020?

Sidhani kama kuna mtu yeyote anaweza kutaka kuungwa mkono na mtu kama wewe unayejaribu kugawa nchi ya Tanzania kwa misingi ya chuki na kabila dhidi ya wachaga.... baki huko huko kwa mafisadi wenzako wa ccm.

Katika hili la mkakati wa kushinda uchaguzi, nadhani kuna thread nyingi tu hapa zimeanzishwa na Mnyika na Rev Kishoka na watu wengi wamechangia huko.. chukua muda ukazisome.

Kwa sasa ni swali kuhusu kuhusika kwa Riziwani Kikwete na kampuni la kifisadi la IMMA na wizi wa mabilioni ya pesa za watanzania.
 
Back
Top Bottom