Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,870
- 26,574
Oh patachimbika, eti nchi itatikisika sijui tetemeko kubwa sijui nini. Kipo wapi sasa mbona kimya?Je Rais aweza kuitwa mahakamani kutoa ushahidi ? hilo ndio swali letu , hayo ya kumchukulia rais wa Tanzania kuwa Mungu ni ya kwako