Je, Rais Magufuli anatafuta kiki kupitia mikopo ya wanafunzi?

Salam Wanabodi,
Tujitwike mzigoni.

Ikiwa zimepita siku chache tangu serikali kupitia Naibu Waziri wa Elimu Mh. Stella Manyanya kutoa taratibu mpya juu ya utoaji wa Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu, zimesikika kelele na vilio vya watoto wa Kimaskini juu ya hatma yao Masomo.

Watu wengi wamelaani taratibu hizo kuwa siyo rafiki kwa wanafunzi hao. Pamoja na hayo ni wanafunzi wachache tu ndiyo wamebahatika kupata mkopo katika awamu ya kwanza.

Nimekua nikijiuliza sana hii ina maana gani ikiwa Mh Rais John Pombe Magufuli aliahidi kuwa wanafunzi wote wenye sifa ya kusoma chuo kikuu wanapatiwa mikopo. Mbona ahadi yake na hali halisi hazilandani kabisa?

Je,ni kweli serikali imekosa fedha za kuipatia Bodi ya Mikopo ili wawapatie Wanafunzi? Je,ni katika harakati za Serikali kubana matumizi ili kizidisha kile wanachokiita maendeleo?

Kati ya hayo maswali yangu hapo,siamini kabisa kwamba Serikali haina fedha za kuwapatia wanafunzi. Pili,serikali haiwezi kubana matumizi mpaka kufikia hatua ya kuwanyima baadhi ya wanafunzi mikopo.

Kelele nyingi zimepigwa na wadau wa elimu,Shirikisho la Wanafunzi wa vyuo vikuu,wahanga wa tukio lenyewe na watu wengi mtaani wanasikitika.
Jambo hili limekua ndo mazungumzo makuu mitandaoni na hata mitaani. Yaani limeteka sana hisia za watu wengi. Hata serikali pia inalitambua hili kuwa hali si nzuri.

Nikionacho ni kwamba Serikali ya awamu ya 5 inajaribu kutafuta attention ya watu ili baada ya muda mfupi watoe mikopo kwa wanafunzi wengi baada ya hapo serikali itasifiwa na kupewa sifa za kutosha.
Kwa nilichokisikia ni kuwa Mh Rais anaweza kuwa mgeni rasmi kwenye sshughuli ya kusherehekea miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Je,ni hapo ndipo atakapopandisha mizuka na kusema wnafunzi wote wapatiwe mikopo kisha kushangiliwa na Umati wa wanafunzi watakaohudhuria?
Hii siyo kiki kweli?

TUSUBIRI TUONE.
Yaani unaona mbali zaidi hata ya wazir mkuu
 
Kuna uwezekano mkubwa sana, na huu umekuwa mchezo wao. Utakuja kusikia 'Haiwezekani kwenye serikali yangu vijana wa nchi hii wakose mkopo, hela ziiipoo, ninawaagiza wahusika watoe mkopo Mapema Kabla sijawatumbua,hii nchi ni ya wote, kila mtu atafaidi, awe chadema, ccm,cuf ya lipumba, na wasio kuwa na vyama, maana nilichaguliwa na Maskini,'in gufuli's voice
soon utamsikia, mzee anapenda sifa yule tumeshashtuka
 
Sijaona ni wapi Mh.Dr.JPM atahudhuria maazimisho hayo ya miaka 55 ya UDSM!
 
Attachments

  • UDSM 55th Years _Anniversary.pdf
    1.2 MB · Views: 41
65c2da63493a7413ef29b45bf9453bb5.jpg

yaliyonenwa
 
Nilikuwa tunaongea ofcn pia juu ya hii mbinu!ndicho atakachokuja kufanya Magu ili apate political credit, ni kama alichowafanya watumishi wa umma na viongozi waliokuwa wakienda kwenye sherehe za uzimaji wa mwenge huko Simiyu! Eti anakuja kuwaambia warudishe pesa wakati alikuwa anajua kinachoendelea, anakuja kuwaambia wazirejeshe kwa PRESS RELEASE! UTOTO KWELI, ili aonekane tu anauchungu na pesa za walipa kodi
mtasema sana mwaka huu hii nchi mlikuwa mmsehaifanya shamba la bibi, anatumia press ili kila mtu ajue na siku nyingine asithubutu kufanya upuuzi wake
 
Hata mimi nimekuw sielewi mpunguzo mkubwa hivyo huku akijua watu watalalamika na bila kitumbua mtu.
 
Salam Wanabodi,
Tujitwike mzigoni.

Ikiwa zimepita siku chache tangu serikali kupitia Naibu Waziri wa Elimu Mh. Stella Manyanya kutoa taratibu mpya juu ya utoaji wa Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu, zimesikika kelele na vilio vya watoto wa Kimaskini juu ya hatma yao Masomo.

Watu wengi wamelaani taratibu hizo kuwa siyo rafiki kwa wanafunzi hao. Pamoja na hayo ni wanafunzi wachache tu ndiyo wamebahatika kupata mkopo katika awamu ya kwanza.

Nimekua nikijiuliza sana hii ina maana gani ikiwa Mh Rais John Pombe Magufuli aliahidi kuwa wanafunzi wote wenye sifa ya kusoma chuo kikuu wanapatiwa mikopo. Mbona ahadi yake na hali halisi hazilandani kabisa?

Je,ni kweli serikali imekosa fedha za kuipatia Bodi ya Mikopo ili wawapatie Wanafunzi? Je,ni katika harakati za Serikali kubana matumizi ili kizidisha kile wanachokiita maendeleo?

Kati ya hayo maswali yangu hapo,siamini kabisa kwamba Serikali haina fedha za kuwapatia wanafunzi. Pili,serikali haiwezi kubana matumizi mpaka kufikia hatua ya kuwanyima baadhi ya wanafunzi mikopo.

Kelele nyingi zimepigwa na wadau wa elimu,Shirikisho la Wanafunzi wa vyuo vikuu,wahanga wa tukio lenyewe na watu wengi mtaani wanasikitika.
Jambo hili limekua ndo mazungumzo makuu mitandaoni na hata mitaani. Yaani limeteka sana hisia za watu wengi. Hata serikali pia inalitambua hili kuwa hali si nzuri.

Nikionacho ni kwamba Serikali ya awamu ya 5 inajaribu kutafuta attention ya watu ili baada ya muda mfupi watoe mikopo kwa wanafunzi wengi baada ya hapo serikali itasifiwa na kupewa sifa za kutosha.
Kwa nilichokisikia ni kuwa Mh Rais anaweza kuwa mgeni rasmi kwenye sshughuli ya kusherehekea miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Je,ni hapo ndipo atakapopandisha mizuka na kusema wnafunzi wote wapatiwe mikopo kisha kushangiliwa na Umati wa wanafunzi watakaohudhuria?
Hii siyo kiki kweli?

TUSUBIRI TUONE.
Daaah, mtoa mada umetisha sana, kumbe ndo mbinu yao eeee. Sawasawa
 
Sasa nyie mnataka kuharibu! iwe kwa motive yoyote ile, cha maana watu wapate mkopo!

Nilisema mtoa Uzi anataka kuharibu! Nadhani ndicho kilichotokea. Unajua kila mtu ana hisia! Kama mheshimiwa alikuwa ameguswa na vilio vya waomba mikopo na akataka kusaidia, halafu akaona kuwa akifanya hivyo ataonekana kuwa anatafuta kiki, bila shaka ataachana na mawazo ya kusaidia asionekane anatafuta kiki kama mtoa uzi alivyokuwa anadhani. Sasa tumepoteza nafasi ya dhahabu!
 
Back
Top Bottom