Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,069
- 7,143
Ayse,Kuna haja ya katiba mpyaHapana hawezi kwenda mahakamani.
Ibara ya 46 (1) Rais akiwa madarakani hawezi kushtakiwa kwa kosa lolote la jinai.
Ibara ya 46 (2) Rais akiwa madarakani anaweza kushtakiwa kwa kesi ya madai kwa jambo atalolifanya akiwa katika hali ya kawaida (kama raia wa kawaida). Ila kuna utaratibu maalum wa kupeleka kesi ya madai dhidi yake.
Ibara ya 46 (3) Rais akiachia madaraka hatashitakiwa kwa jambo lolote lile ambalo alilifanya akiwa katika majukumu yake ya kazi.