Konakali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 1,533
- 263
Jamani wana JF (the Home of Great Thinkers), naombeni niwaulize kuhusu hili;
Mtu mwenye BF/GF/Husband/Wife, lakini inapotokea kwa namna moja ama nyingine, akajua kuwa mwenzie anachukuliwa na mwingine taratiiiibu. Na mara nyingine wengine huamua kumpigia huyo mwanamke/mwanaume mwenzie simu, au kumwandikia sms, au kumtumia ujumbe wowote kuwa aachane na mtu wake.
Sasa je, ujumbe kama huu unastahili utumwe kwa yupi?