Je, onyo liende kwa yupi??

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Jamani wana JF (the Home of Great Thinkers), naombeni niwaulize kuhusu hili;

Mtu mwenye BF/GF/Husband/Wife, lakini inapotokea kwa namna moja ama nyingine, akajua kuwa mwenzie anachukuliwa na mwingine taratiiiibu. Na mara nyingine wengine huamua kumpigia huyo mwanamke/mwanaume mwenzie simu, au kumwandikia sms, au kumtumia ujumbe wowote kuwa aachane na mtu wake.

Sasa je, ujumbe kama huu unastahili utumwe kwa yupi?
 
Hii issu inatakiwa ukae na mke/mme/Bf/Gf uongee nae mambo ya kumtumia mwizi message itakusaidia nini bana
Anza na huyo wa ndani aliyeamua kufanya infidelity
 
its nt wise way of solvng pbm.
y dnt u askng her o him?
uyo unayetaka kumpigia au kumtumia msg hawezi kukupa majibu mazuri we mwulize yeye....
uyo wa nje pia anaweza kuwa alidanganywa that m single sina mtyu mie braa braaa so hana hatia aliye na hatia ni uyo aliyeamua kutoka nje....MWULIZE YEYE NEVER USIGOMBANE NA WA NJE....CZ HAJUI LOLOTE MARA NYNG thou smtmes wanajua na wanaamua tu kukuruka na mahusiano ya watu bt stl mwenye jibui ni uyo wako..........!!!!!
 
Kwa kweli unapofikia kujua mke ama mme anatembea na mtu mwingine ujue kuna tatizo ama kuna mapungufu kati yenu mimi binafsi kama mke wangu anamegwa na jamaa na mie nikijua tu namuacha kwani hakuna mapenzi kweli tena hapo.
 
mmh majan ya kunde kwan we aujawai kumega nje.......?
m just askng.
 
Kwa kweli unapofikia kujua mke ama mme anatembea na mtu mwingine ujue kuna tatizo ama kuna mapungufu kati yenu mimi binafsi kama mke wangu anamegwa na jamaa na mie nikijua tu namuacha kwani hakuna mapenzi kweli tena hapo.

dogo bado hujakua wewe!utaacha wangapi katika dunia hii ya sasa!watu wamemegewa wake zao mpaka kfikia hatua ya kuzaa nje na bado ndoa zao zipo zinadunda tu, sembuse kumegewa nje?
 
Kwa kweli unapofikia kujua mke ama mme anatembea na mtu mwingine ujue kuna tatizo ama kuna mapungufu kati yenu mimi binafsi kama mke wangu anamegwa na jamaa na mie nikijua tu namuacha kwani hakuna mapenzi kweli tena hapo.

Hata kama unataka kumuacha inabidi kwanza uongee nae kujua tatizo inaweza kuwa humchezeshi Alaaji Alaaji vizuri na ukishafahamu unaweza kujirekebisha katika uhusiano unaofata.
 
acha utundu
ntakupm na ntakuesemea kwa m+++++++!
twende km vp....tangulia naja...!!!!
 
acha utundu
ntakupm na ntakuesemea kwa m+++++++!
twende km vp....tangulia naja...!!!!

Sio vizuri kuwasemea wenzako ujue....nshafika pm..nakungoja...:A S 8:...
(Hope kina Asprin, Teamo na Kaizer hawapita hapa...).......
 
bacha na roya roy basi mii natangula ......atakayewai kuja ndo uyo uyo akiwa shimbo sawa akiwa mwema poa tu!!!!!!!

sa wewe basha iweje unionee wivu?na wewe roya iweje upige mikwara wenzako....?
natangulia ......wa kwanza takes ol!!!!!!
 
Rose1980, siwezi tena kusema hapo kwani kiongozi wangu Roya,ameshaninyooshea kidole!Ila kwakuwa sheria ya infidelity inasema kizuri kula na mwenzio basi ngoja atangulie yeye, najua roya ni mzuri katika kushirikisha members!
 
Rose si umeona eh.....jibu basi pm yangu....:fish2:...
Hapo aliyepewa onyo ni nani tena?? Rose au bacha??:closed_2:
 
Kwa kweli unapofikia kujua mke ama mme anatembea na mtu mwingine ujue kuna tatizo ama kuna mapungufu kati yenu mimi binafsi kama mke wangu anamegwa na jamaa na mie nikijua tu namuacha kwani hakuna mapenzi kweli tena hapo.
mbona umejichanganya ? badala ya kutafuta tatizo ulitatue wewe utalikimbia tena!!?
 
bacha mi atangulia..wewe akuta mimi kule...katibu wako ana majukumu meng so atacheklewa so if ur shap enaf u can mak t b4 hm.......hahahahh roy naenda kukusemema kwa m+++++!!!!!!!
 
Hii issu inatakiwa ukae na mke/mme/Bf/Gf uongee nae mambo ya kumtumia mwizi message itakusaidia nini bana
Anza na huyo wa ndani aliyeamua kufanya infidelity

well said FL1, kwa nini ugombane na mtu ambaye humjui wakati aliyesababisha hayo yote upo naye kila siku? kuongea na third part ni kutafuta shari siyo ku-solve tatizo.
Deal na wako
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom