Je ni sawa mwanamke kuwa na vinyweleo vingi mikononi kama mwanaume?

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,735
6,796
Hii kitu inanishangaza sana, nipo mkoa X ambapo ndipo makazi yakudumu yalipo ila sikai sana sababu ya kazi zangu, lakini ninakutana na mambo ambayo nadhan yanasababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi au sijui ni hormonal imbalance kwa wadada.

Nilipoingia huu mkoa wiki 2 zimepita nilienda kiwanja nikakutana na watoto wakali sana nikavuta mmoja, tukanywa, tukaelewana, tukatoka.

Sasa ile nipo nae room baada ya kutoa nguo, juu alikua amevaa nguo fln hivi ni transparent ila nyeusi na ndefu hivo inafunika mikono. Si kumshika nikahisi nywelenywele, kuangalia naona ana vijinyweleo kama mwanaume, japo sio vingi ila vilikuwepo na vikanikera sana, game nzima sikuenjou.

Baadae nikadhan labda aliahawai kuumwa mikono akawekewa zile chokaa za kusupport(mitaani wanaita mihogo) sababu huwa zinasababisha vinyweleo kuota, lakini sasa ndio mikono yote? Basi nikapotezea asubuhi yake nikamlipa akaondoka.

Juzi tena imetokea kwa binti mwingine, ni mzuri kweli kweli, maji ya kunde, ila mikononi sasa naona vinyweleo, na huwa naviona nikiwa room.

Haya mambo sijawahi kuyaona dsm, labda sababu nikiwa dar viwanja vyangu ni Samaki samaki, havoc, and the likes....

Kuna shida gani huko mikoani? Au ni kawaida sikuhizi?
 
Dr Restart nakuamuru mara moja rudi nyumbani Tanzania. Nyie na genge lenu mnaiaribu Canada. Hupo huko Ottawa huna msaada kabisa. Nyie ndo mlimuweka tradue hadi anaboronga. Waziri mkuu wa hovyo kuwahi kutokea canada. Rudi nyumbani.

Canada is a great rich country but is ruled by bunch of Idiots.
Oya vp tena?

Dish limeyumba? Niite 911?
 
Dr Restart nakuamuru mara moja rudi nyumbani Tanzania. Nyie na genge lenu mnaiaribu Canada. Hupo huko Ottawa huna msaada kabisa. Nyie ndo mlimuweka tradue hadi anaboronga. Waziri mkuu wa hovyo kuwahi kutokea canada. Rudi nyumbani.

Canada is a great rich country but is ruled by bunch of Idiots.
Wewe rudi nyumbani ukazoe taka. Mifereji ya Dar imeziba na watu wanapata changamoto, mafuriko na magonjwa kutapaa. Nguvu kazi mmekimbilia kunurse mizee inayokaribia kufa.

Upo tu unakimbizana na mibibi ya kizungu. Rudi kwenu nanjilinji
 
wengine ni nature kuwa na asili ya. Nywele nyingi,mazingira au baadhi ni shida ya hormones
Mm na kuvua nyupi kote huko nimekuja kuona hili tatizo miaka hii. Ukiachana na wale wanawake wanaokua na ndevu kwa mbali, hawa wenye vinyweleo mikononi sikuwahi kuona kabisa.
 
Ni kweli kwa sababu hii kitu inanishangaza sana pia, nipo mkoa X ambapo ndipo makazi yakudumu yalipo ila sikai sana sababu ya kazi zangu, lakini ninakutana na mambo ambayo nadhan yanasababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi au sijui ni hormonal imbalance kwa wadada.

Nilipoingia huu mkoa wiki 2 zimepita nilienda kiwanja nikakutana na watoto wakali sana nikavuta mmoja, tukanywa, tukaelewana, tukatoka.

Sasa ile nipo nae room baada ya kutoa nguo, juu alikua amevaa nguo fln hivi ni transparent ila nyeusi na ndefu hivo inafunika mikono. Si kumshika nikahisi nywelenywele, kuangalia naona ana vijinyweleo kama mwanaume, japo sio vingi ila vilikuwepo na vikanikera sana, game nzima sikuenjou.

Baadae nikadhan labda aliahawai kuumwa mikono akawekewa zile chokaa za kusupport(mitaani wanaita mihogo) sababu huwa zinasababisha vinyweleo kuota, lakini sasa ndio mikono yote? Basi nikapotezea asubuhi yake nikamlipa akaondoka.

Juzi tena imetokea kwa binti mwingine, ni mzuri kweli kweli, maji ya kunde, ila mikononi sasa naona vinyweleo, na huwa naviona nikiwa room.

Haya mambo sijawahi kuyaona dsm, labda sababu nikiwa dar viwanja vyangu ni Samaki samaki, havoc, and the likes....

Kuna shida gani huko mikoani? Au ni kawaida sikuhizi?
 
Hata dar wapo ila wanafanya wax mwili unakuwa soft.
Aisee! Labda ndo maana sijawahi kuona

Kila nikivuta picha ya yule binti nakua mentally distracted kabisa, pisi na vinyweleo wapi na wapi.
 
Hizo huwa ni kutokana na hormones.

Huwa zinapendeza sana kumchezea ukiwa naye Kwa bed. Tena umkute anazo tumboni kuzunguka kitovu.

Kama utakuwa ni Mzee wa Umri wangu, hutatamani atoke nje ya nyumba Kwa kuogopa kuibiwa na Vijana wa hovyo 🤗😜
 
Aiseeee, basi tunatofautiana sana sana sana.

Mimi hizo nywele zinanikosesha hata hamu ya kula hasa za mikononi.
 
Back
Top Bottom