Je, ni sawa kufanya mapenzi na mwanamke anaekuzidi miaka 18+?

fundichupi

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
382
225
Habari zenu wanajukwaa pendwa la MMU.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, napenda kusikia maoni yenu kutoka mitazamo tofauti tofauti ya kidini/imani na kidunia.

Swali hili limekuja baada ya kuwa nchi ya kigeni ambayo wana tabia za kibaguzi hivo kuingiliana nao ni ngumu, sasa imetokea kuna mwanamke wa kiafrika ananizidi miaka 18+ na ametaka tukate kiu kwa mda ambao tupo huku na baada ya hapo ni kila mtu na maisha yake (no strings attached).

Ugwadu nilionao unafanya kichwa cha chini kiwe na msukumo kuzidi kichwa cha juu, hvo naombeni mitazamo yenu kuhusu upi utakuwa uamuzi wa busara.

Nawasilisha.

********************************


MREJESHO

Kama kuna jambo nimejifunza basi ni kuwa ng'ombe wa kike huzeeka maini. Jioni hii nmetifua uchaka ila nmejikuta nafanya huku navutia mood kwa kuwaza mchepuko wa zamani. Mwanamke akianza kuzeeka minofu ya uchi inakauka (panakuwa kama fuvu) na kila ukipeleka moto ni kama upo na katoto maana ni kulalama anaumia, mara anaomba poo mara anataka upige slow jam yaani kifupi ni shida. Baada ya zoezi la leo aisee wacha nibaki single, kama sitopata binti wa kupunguzia uchupa ntakuwa tuu mpole hadi nikirejea nchini. Ila kupiga mechi ya kirafiki tena kwake siwezi maana nafsi imekataa kabisa.

Cc:-

kapeace , Sonia G , BAK , Mwamba028 , Mamndenyi
 
Sijawahi kusikia mtu amekufa au kuugua kwa kustahimili.
Vitu vingine hutegemea kama unajijua wewe ni NANI.

You better trust in God's authority than 'us' majority.
When it comes to things of self;
Everything the majority supports more, question& scrutinize it the more.

Adios
 
Hakuzidi miaka 18 Bali anakuzido miaka 18+ Wenda ni 20 au 25 n.k.


Bila shaka age yako IPO 25-35.

Tuchukulie tu unamiaka 25 ,, na tujifanye kama anakuzidi iyo iyo 18 kamili.

Kwaiyo yeye anamiaka 43 ,,Wewe unamiaka ,25.

Anyway , Kitulize mkuu !!... Simba hata mbugani kuwe nahaki gan hawezi kula nyasi........atleast angekua amekuzidi 5-9.
 
Hakuzidi miaka 18 Bali anakuzido miaka 18+ Wenda ni 20 au 25 n.k.


Bila shaka age yako IPO 25-35.

Tuchukulie tu unamiaka 25 ,, na tujifanye kama anakuzidi iyo iyo 18 kamili.

Kwaiyo yeye anamiaka 43 ,,Wewe unamiaka ,25.

Anyway , Kitulize mkuu !!... Simba hata mbugani kuwe nahaki gan hawezi kula nyasi........atleast angekua amekuzidi 5-9.
Chief , unajua siku zote ya darasani asilimia kubwa hayatumiki ktk maisha ya uhalisia. Acha kukokotoa hesabu za umri mwaga maoni na ujuzi wako.

Ukianza kutaka kujua umri utatoka nje ya mada
 
Back
Top Bottom