Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,548
- 3,554
Hahaa fundi chupi yuko kwenye 40's so obvious bibi anaemgwaya yuko kwenye 60's hvHakuzidi miaka 18 Bali anakuzido miaka 18+ Wenda ni 20 au 25 n.k.
Bila shaka age yako IPO 25-35.
Tuchukulie tu unamiaka 25 ,, na tujifanye kama anakuzidi iyo iyo 18 kamili.
Kwaiyo yeye anamiaka 43 ,,Wewe unamiaka ,25.
Anyway , Kitulize mkuu !!... Simba hata mbugani kuwe nahaki gan hawezi kula nyasi........atleast angekua amekuzidi 5-9.