Je ni nini future ya mahusiano haya?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,955
156,121
Umeoa, na umebahatika kupata kupata watoto wanne kwenye ndoa yako.
Wewe ni mwaminifu sana kwako, na kwa kweli hujawahi kutoka nje ya ndoa yenu iliyodumu kwa miaka kumi na moja.
Mwezi ulipita ukiwa kwenye mizunguko yako town, ukakutana na msichana wako wa zamani aliyekufundisha nini maana ya mapenzi, huku wewe ukiwa ni bwana wake wa kwanza.
Hakika tangu mlipo achana baada ya kumaliza shule, moyo wako na mawazo yako daima yalikuwa kwake, hata baada ya kuoa. Tangu uwe naye hujawahi kupenda upendo wa namna ile.
Mlipo kutana mjini mioy yenu ililipuka kwa furaha na mishawasha, bila hata kuongea, penzi lenu lilipotelea jangwani likaibuka upya ghafla.
Mwanamke huyu amekuwa ni rafiki yako kuliko mkeo, mnashea nae interest nyingi kuliko mkeo.
Kila ukipendacho naye akipenda hicho hicho, hii ni kuanzia zamani mlipokuwa wapenzi O Level.
Mapenzi yenu yanashamiri na kukua, mnajikuta mnamegana bila kupanga.
Mchezo ukaendelea.
Sasa bibie huyu amekuwa mkali, hataki uchelewe kurudi nyumbani kwa mkeo, na hataki muwasiliane kwa namna yoyote ili mkeo asiumie.
MAWASILIANO YENU NI WORKING HOURS, NA WEEKDAYS TU
Je ni nini future ya mahusiano haya?
 
No matter what, hayo mahusiano ni haramu, yanatakiwa yavunjike mara moja ubaki na ndoa yako halali.
There is no excuse katika hilo.
 
Umeoa, na umebahatika kupata kupata watoto wanne kwenye ndoa yako.
Wewe ni mwaminifu sana kwako, na kwa kweli hujawahi kutoka nje ya ndoa yenu iliyodumu kwa miaka kumi na moja.
Mwezi ulipita ukiwa kwenye mizunguko yako town, ukakutana na msichana wako wa zamani aliyekufundisha nini maana ya mapenzi, huku wewe ukiwa ni bwana wake wa kwanza.
Hakika tangu mlipo achana baada ya kumaliza shule, moyo wako na mawazo yako daima yalikuwa kwake, hata baada ya kuoa. Tangu uwe naye hujawahi kupenda upendo wa namna ile.
Mlipo kutana mjini mioy yenu ililipuka kwa furaha na mishawasha, bila hata kuongea, penzi lenu lilipotelea jangwani likaibuka upya ghafla.
Mwanamke huyu amekuwa ni rafiki yako kuliko mkeo, mnashea nae interest nyingi kuliko mkeo.
Kila ukipendacho naye akipenda hicho hicho, hii ni kuanzia zamani mlipokuwa wapenzi O Level.
Mapenzi yenu yanashamiri na kukua, mnajikuta mnamegana bila kupanga.
Mchezo ukaendelea.
Sasa bibie huyu amekuwa mkali, hataki uchelewe kurudi nyumbani kwa mkeo, na hataki muwasiliane kwa namna yoyote ili mkeo asiumie.
MAWASILIANO YENU NI WORKING HOURS, NA WEEKDAYS TU
Je ni nini future ya mahusiano haya?
Mtaka yote hukosa yote..Kama huyo wa olevel ndo mlikuwa mnaendana kwa nini hukumuoa?
Be carefull na tamaa.
 
Huwezi kutumikia mabwana wawili,hapo mwisho wa siku lazima kitaeleweka,kuendelea na your ex au your current wife,vinginevyo unaishi imagination life na haujielewi.
 
Future ya mahusiano hayo iko mikononi mwenu wenyewe wala sisi hatuwezi kujua.Nyinyi ndo waamuzi wa nini kiwe destiny na kipi kisiwe destiny ya hiyo relationship yenu.So you better make a decision now!!
 
sio mimi, ni mzee mmoja hapa ofisini yamemkuta, halafu kawa kama zuzu

Hahahahaah! Bujibuji!!!! Umestukiwa mtu mzima, yamekukuta, si ukubali tu!!! Lakini Ya Kale Hayanuki!!! Ila angalia sana usijekamatwa na mkeo. Utaharibu koote.
 
Lisa, mimi mwenzako domo zito, nilipoletewa mke kutoka bush nikapewa na user manual ya namna ya kumtumia... hasa kwenye NJUNJI
 
Last edited by a moderator:

hahahaahaha! haya bwana ila watu wazima wamekusoma Mkuu, kuwa yamekukuta na umenogewa ile mbaya, la kufanya huna, wakati huo umeshaoa na una watoto 4. Duh Pole sana mkuu hizo ni challenge za maisha unatakiwa kuzishinda.
 
Umeoa, na umebahatika kupata kupata watoto wanne kwenye ndoa yako.
Wewe ni mwaminifu sana kwako, na kwa kweli hujawahi kutoka nje ya ndoa yenu iliyodumu kwa miaka kumi na moja.
.....
sounds like mid-life crisis!! u mean ameishi 11yrs ndoa bila infidelity wakati moyo ulikuwa kwa mwingine, hainiingii akilini unless kuna jambo lililofichika. mwambie huyo mwanaume (mvulana) aji-evaluate ndoa yake kama ni ukweli au geresha na atubu kwa dhambi ya usaliti
 
Blaine, huyo baba kawa kama pumbavu anajiona yeye ni hero
sounds like mid-life crisis!! u mean ameishi 11yrs ndoa bila infidelity wakati moyo ulikuwa kwa mwingine, hainiingii akilini unless kuna jambo lililofichika. mwambie huyo mwanaume (mvulana) aji-evaluate ndoa yake kama ni ukweli au geresha na atubu kwa dhambi ya usaliti
 
Last edited by a moderator:
Wapenz wa zaman, wapnz wa zaman mbona wamekua tatizo kwa kila mahusiano......???kuna kila haja ya kumsaka mwanaume bikra ili kuiepuka hii adha ya mpnz wa zaman maana daah

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom