Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,015
- 156,374
Umeoa, na umebahatika kupata kupata watoto wanne kwenye ndoa yako.
Wewe ni mwaminifu sana kwako, na kwa kweli hujawahi kutoka nje ya ndoa yenu iliyodumu kwa miaka kumi na moja.
Mwezi ulipita ukiwa kwenye mizunguko yako town, ukakutana na msichana wako wa zamani aliyekufundisha nini maana ya mapenzi, huku wewe ukiwa ni bwana wake wa kwanza.
Hakika tangu mlipo achana baada ya kumaliza shule, moyo wako na mawazo yako daima yalikuwa kwake, hata baada ya kuoa. Tangu uwe naye hujawahi kupenda upendo wa namna ile.
Mlipo kutana mjini mioy yenu ililipuka kwa furaha na mishawasha, bila hata kuongea, penzi lenu lilipotelea jangwani likaibuka upya ghafla.
Mwanamke huyu amekuwa ni rafiki yako kuliko mkeo, mnashea nae interest nyingi kuliko mkeo.
Kila ukipendacho naye akipenda hicho hicho, hii ni kuanzia zamani mlipokuwa wapenzi O Level.
Mapenzi yenu yanashamiri na kukua, mnajikuta mnamegana bila kupanga.
Mchezo ukaendelea.
Sasa bibie huyu amekuwa mkali, hataki uchelewe kurudi nyumbani kwa mkeo, na hataki muwasiliane kwa namna yoyote ili mkeo asiumie.
MAWASILIANO YENU NI WORKING HOURS, NA WEEKDAYS TU
Je ni nini future ya mahusiano haya?