Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

Labda kama mdau hpo juu alivyosema kuwa apart from hyo 1% ya kila mwezi kuna 14% ya mwaka, kama ni hvyo hpo angalau inamake sense.
1% kwa miezi 12 ni sawa na wamekupa 12% ya faida yako. Sidhani kama faida ya mwisho wa mwaka itabaki kuwa 14%. Labda uniambie (14% - 12%)= 2% ndio gawio la mwisho wa mwaka.
Hakuna uwekezaji wenye return (14+12)% kwa mifuko yote ya utt.
 
Hata mm najua hvyo, bt kuna mwana hapo juu ndo nahisi nilimuelewa hvi.
 
1% kwa miezi 12 ni sawa na wamekupa 12% ya faida yako. Sidhani kama faida ya mwisho wa mwaka itabaki kuwa 14%. Labda uniambie (14% - 12%)= 2% ndio gawio la mwisho wa mwaka.
Hakuna uwekezaji wenye return (14+12)% kwa mifuko yote ya utt.
Uko sahihi mkuu.

Na kiuhalisia kile kidogo kinachobakia baada ya gawio la kila mwezi hubakia kama ongezeko la mtaji. Hakigawiwi mwisho wa mwaka.
 
Hii faida inatolewa kila mwezi, je inakuwa compounded kila mwezi au ni faida ya mwezi.
Mfano laki moja.
100,000*16% sawa na tshs 16,000
Kwa hiyo kwa mwaka ni 116,000
Au
Kuna utaratibu wanacompound kila mwezi?
Sina uhakika ila 0688944180 Anaitwa Brother Waziri anahusika na mifuko hiyo unaweza mpigia akakujuza zaidi
 
Mkuu, unawezaje kuona trend ya uwekezaji wako kila siku/wakati?
Kwa vile thamani ya kipande (Net asset value per unit) hukokotolewa kila siku kwa kila mfuko wao, unaweza kukokotoa thamani ya uwekezaji wako kila utakapo.

Mimi kwa mfano huwa ninakokotoa thamani ya uwekezaji wangu mara 1 kila wiki. Unaweza kukokotoa hata kila siku.

Thamani za vipande siku kwa siku zinapatikana katika website ya utt, kwenye application ya utt ukiwa nayo, na mara nyingine huchapwa katika baadhi ya magazeti.
 
Sasa mkuu 10% kwa 60M ndio unapata 100M kwa miaka miwili? Mbona sio sahihi?

NB: Sina nia ya kubisha. Naomba tu kueleweshwa kama nimekosea hesabu.
Hukunielewa. 60m nilikua nazo nikaweka Jikimu wakati naendelea KUTAFUTA nyingine. Zilipofika 100m (yaani nilikua NAONGEZEA, sio faida ya jikimu) nikafikiria nijenge au niziache tu jikimu, jibu likawa faida ya kuziacha ni kubwa. Nafikiri tumeelewana sasa.
 
Back
Top Bottom