Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,165
- 5,551
Jambo Jambo?
Naomba kujua haya ya kununua bonds,hisa kwenye stock exchange na mambo ya UTT-AMIS
kiufupi napenda kuwekeza hela kwenye mambo kama hayo, ambayo kwa shughuli zangu za utafutaji nalazimika kuwa kazini saa11 alfajiri mpka saa 2 kasoro usiku. Monday -Sunday,holiday ni siku 4 tu kwa mwezi haitoshi kukuza biashara au usimamizi mzuri, mbaya zaidi kuna kuhama hama kutokana na location ya miradi.
Wife ana biashara zake na mimi nataka niwe na some kind of investment pembeni.
Pesa iliyopo kwenye kibubu ni million 19.7
BONDS
kuna mdau nilimsoma kuwa unaweza ukanunua government bonds, sijui mutual bonds kwa miaka kadhaa na ukawa unakula gawio.
Kuna hiki cha mutual bonds, hii ni nini?
STOCK EXCHANGE
Naonaga mfano kwenye DSE(Dar es salaam stock exchange) sijui hisa za Twiga sijui CRDB na makampuni kadhaaa,Ni utaratibu gani unatumika kununua na kujisajili na je nini faida zake, maana hii elimu ya haya mambo ni nadra kwa watu wengi,msaada plz
UTT-AMIS
Hii nadhani niliona uzi wake, ila majibu hayakuridhisha mana majibizano yalikuwa mengi mpka yanachanganya. Hii iko je, au utaratibu kujiunga na location za kupata more info.
OTHERS
Kama kuna muundo mwingine kama wa shughuli hizo za hapo juu naomba mzitaje na ufafanuzi wenu tafadhali
(HUWA NAONGEZEA KIASI FULANI CHA MSHAHARA KWENYE AKIBA YANGU HIYO, HIVYO NINA UHAKIKA KUWA KILA MWEZI (Panapo majaliwa ya mwenyezi) NINA WEZA NKAWA NAONGEZEA SOMETHING KWENYE INVESTMENT NITAKAYOCHAGUA)
JF kisima cha maarifa msaada wenu Tafadhali.