Je, ni kweli majina yanaathiri tabia?

b

but nimeona mfano majina ya ally wengi ni masharobaro mno..
michael wengi wao wana uwezo wa ku lead wengine
khadija wachangamfu sana
mariam wapole kiasi na wana upendo kwa watu..

leyla wanapenda sex sana
anna hawajatulia kabisa

Wenye majina hayo hapo juu nilio wahi kuwaona ni kweli kabisa.
 
neema wengi niliokutana nao mimi ni majeur, mashauz,wanajiamin pia waongo.je mbali nakukukataa tabia hizi walikuonyesha :smile-big:
 
Ahsante kwa huu mchanganuo kiongozi,
Naona kama 90% ni mule mule,
Natamani kupata GF mwenye jina la Leyla,
Kwenye mzunguko wangu wa maisha wamekuwa adimu sana.
Mhhh Mariam, alikuwaga shemeji yangu.... alikuwa mtata sana
wengi wenye majina ya leila wana sura nzuri,huwa ni wazuri hasa
 
Most of Leyla kweli wapole, ila ndo wapole kila secta - yeye ni wife material ambae huumizi kichwa hata watu wabaya kuchakachua. Kuhusu wao kupenda sex ndo naskia leo kwa The Boss, nafikiri alimbahatisha mmoja.
Akina Lyla dakika tano mbele,isipokuwa wa hapa JF.
 
Mie niliona school majina ya...........
Akina Mwajuma, Pili, Sada, Mwanaiba, Saida,Hawa, zena, habiba, Ashura, Farida, Sofia, Zuwena, ugawa fifi bila mpangilio.
Akina Mariam, Hadija, Sharifa,Miraji,Amina, Saumu,Fatuma, hawana msimamo sio kazi kutoa fifi kwao.
Akina Salama, Mwanamisi, Halima,Rehema Salma, Aziza ugawa kwa mpangilio.
 
sio kweli akina neema hatuko wagumu kihivyo...
si kweli pia tuko successful....mfano ni mimi mwenyewe lol:frusty:
 
na sisi wenye majina ya kinyumbani mmmhh

Hapo ndio kizungumkuti, ila nadhani nayo inajipa pia.....
Mfano mi ni mnyaki, jina langu ni Gwalughano Joune, hiyo Gwalughano maana yake ni " (wa) upendo".
Watu wanadai nina "full love" pia nimeona wengi wenye majina kama yangu wa kule kwetu, wapo hivyo yaani "full love" kwa watu wote.
Ila pia tunapenda kupendwa na kudekezwa, matokeo yake tunakuwa na mapozi tukijihisi tumepata hivyo vitu!!
 
sio kweli akina neema hatuko wagumu kihivyo...
si kweli pia tuko successful....mfano ni mimi mwenyewe lol:frusty:

Mmmmmh kama unataka kunipa moyo vilee??
Ok!
"The Boss", mwenzio nyota inang'aa huku kwa Neema huyu, sijui wewe na namba uliyopewa na Asha D.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom