Je, ni kweli majina yanaathiri tabia?

Hapo ndio kizungumkuti, ila nadhani nayo inajipa pia.....
Mfano mi ni mnyaki, jina langu ni Gwalughano Joune, hiyo Gwalughano maana yake ni " (wa) upendo".
Watu wanadai nina "full love" pia nimeona wengi wenye majina kama yangu wa kule kwetu, wapo hivyo yaani "full love" kwa watu wote.
Ila pia tunapenda kupendwa na kudekezwa, matokeo yake tunakuwa na mapozi tukijihisi tumepata hivyo vitu!!

daahhh safi sana dear
 
asha d mieyeyusho
wivu unamsumbua...


LOL...TB tumepanga miadi vizuri alafu unaniita miyeyusho tena, yule mtoto anabadilisha # kila siku, leo nimefanya kazi ya kuifuatilia... nimeahirisha sikupi!
 
lol...tb tumepanga miadi vizuri alafu unaniita miyeyusho tena, yule mtoto anabadilisha # kila siku, leo nimefanya kazi ya kuifuatilia... Nimeahirisha sikupi!

umeona hapo wivu unavyokusumbua..
Usiponipa nitahamia kwako....maana si bure....lol
 
wanasayansi wa lugha wanaamini kuwa hakuna uhusiano kati ya neno na kilejelewa chake. Lakini tofauti nao wanasaikolojia wao wanaamini kuwa majina yanaweza kusababisha tabia ya watu. binafsi naamini katika wanasaikolojia katika hili. Nimekuwa na uhusiano na wasichana watatu tofauti katika nyakati tofauti. wote wanaitwa Happy, kwa hiyo kwangu msichana akiitwa Hapy najua huyo wangu. Kutokana na hali hiyo nakubali kuwa majina yanaathiri tabia
 
wanasayansi wa lugha wanaamini kuwa hakuna uhusiano kati ya neno na kilejelewa chake. Lakini tofauti nao wanasaikolojia wao wanaamini kuwa majina yanaweza kusababisha tabia ya watu. Binafsi naamini katika wanasaikolojia katika hili. Nimekuwa na uhusiano na wasichana watatu tofauti katika nyakati tofauti. Wote wanaitwa happy, kwa hiyo kwangu msichana akiitwa hapy najua huyo wangu. Kutokana na hali hiyo nakubali kuwa majina yanaathiri tabia

happy huwa hawakatai wanaume
 
wanasayansi wa lugha wanaamini kuwa hakuna uhusiano kati ya neno na kilejelewa chake. Lakini tofauti nao wanasaikolojia wao wanaamini kuwa majina yanaweza kusababisha tabia ya watu. binafsi naamini katika wanasaikolojia katika hili. Nimekuwa na uhusiano na wasichana watatu tofauti katika nyakati tofauti. wote wanaitwa Happy, kwa hiyo kwangu msichana akiitwa Hapy najua huyo wangu. Kutokana na hali hiyo nakubali kuwa majina yanaathiri tabia


progress.gif
Edit Post Reply Reply With Quote
 
dahhh
umenifanya ni "Google" jina langu lol
ningekuwa nusu ya jinsi jina langu linavyo sema
ningekuwa mbali sana katika maisha yangu ..
kwa hiyo inabidi nikatea..
 
OF course broh inawezekana ikawa 2tru coz nilipoxoma text yako zen jinz NEEMA i can assure u on ma side i do loved wiz NEEMA yaani hakuna NEEMA nitakaye face naye asinikubali na km c chin ya 5 wameniaproach at different places mpk nikasema ntaoa NEEMA aiseee xo names yana mata
 
back to topic

mimi binafsi nina jina la kipeekee sana
as a result naweza sema sifanani na yeyote kitabia..
nipo kipeke yangu sana...

but nimeona mfano majina ya ally wengi ni masharobaro mno..
michael wengi wao wana uwezo wa ku lead wengine
khadija wachangamfu sana
mariam wapole kiasi na wana upendo kwa watu..

leyla wanapenda sex sana
anna hawajatulia kabisa

happines wako happy sana..

bahati..wanakuwaga na bahati pia

mmmh mkuu hapo nilipogogomea msumari nina wasiwasi napo, hawa wengi wao ni wale naopenda sana kale Kamchezo ka kuingia na kutoka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom