Ndugu zangu nimesikia makelele makeleld kuwa cdm ni chama cha kikabila na kidugu anae jua nani ni ndugu na nani pls tujuze
Ndugu zangu nimesikia makelele makeleld kuwa cdm ni chama cha kikabila na kidugu anae jua nani ni ndugu na nani pls tujuze
Ndio zao hizo,Rev umemsikiliza Mkwere leo? Utajua tu ni watu wa ulimwengu upi. Wanahitaji uwaombeeUsipende kusikiliza Kelele!
Hebu tujuze ya mwanza hatuwezi kuja....Njoo Mwanza uulize kama Chadema ni chama cha kindugu utapata majibu
Hebu tujuze ya mwanza hatuwezi kuja....
repeATED THREADNdugu zangu nimesikia makelele makeleld kuwa cdm ni chama cha kikabila na kidugu anae jua nani ni ndugu na nani pls tujuze
Umejaribu kutafiti kidogo, kwenye siasa 'fununu/tetesi' hazikosi.
Ila subiri waje wauthibitishie UMMA.