Je ni kweli chadema ni chama cha kindugu

Status
Not open for further replies.

mangoa

Member
Jun 2, 2010
31
3
Ndugu zangu nimesikia makelele makeleld kuwa cdm ni chama cha kikabila na kidugu anae jua nani ni ndugu na nani pls tujuze
 
Umejaribu kutafiti kidogo, kwenye siasa 'fununu/tetesi' hazikosi.
Ila subiri waje wauthibitishie UMMA.
 
Ndugu zangu nimesikia makelele makeleld kuwa cdm ni chama cha kikabila na kidugu anae jua nani ni ndugu na nani pls tujuze

Yap; mh Mbowe kaoa mtoto wa Mtei ambaye ni mwanzilishi na M/kiti wa kwanza wa Chadema, na pia kimekaa kikabila zaidi.
Mwenye macho na aone!!!
 
Njoo Mwanza uulize kama Chadema ni chama cha kindugu utapata majibu
 
kweli ni chama cha kidugu na kinahimiza umoja kwani sisi watanzania wote ni ndugu,na chadema kinatuunganisha kama ndugu.
 
Hebu tujuze ya mwanza hatuwezi kuja....

Sure thing,, kipo kikabila zaidi. Hizi si zama za ukabila,, watanzania wote tuko pamoja na si kuburuzwa na chama fulani. Sauti ya umma iwe ni sauti ya watanzania wote si sauti ya CDM
 
CCM ina akina Kawawa, akina Kikwete, akina Makamba, akina...endelea mwenyewe. Chadema utaanza kutafuta....
 
Chama cha wachaga kwani siri? Msijiumeume nani hajui? Pelekeni huko huko umangi wenu
 
Mzee Mbowe alipokuwa hai alikuwa CCM Damu - Nyerere alikuwa anapata misaada kibao toka kwa Huyo Mzee ndio maana Serikali haikutaifisha Mbowe Hotel Enzi hizo na Ilikuwa inauza Pombe 7 days a week no limitations kwasababu wakati wa Jumapili watu hawaendeshi na bia haiuzwi

Ukiangalia Mbowe kabla ya kuwa Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chadema alikuwa Naibu Gavana wa zamani Mzee Makani yeye ni msukuma wa shinyanga...

Miaka Mingi wachagga kwa Nyerere walikuwa wameendelea sana kwahiyo Nyerere alipenda wasiendelee sana kusubiri maeneo mengine; Majority yao hakuwa wanapenda Siasa za Nyerere mfano ni kuivunja KNCU kwahiyo kuwa na wapinzani

Wachagga sio kama Wasukuma just one language na one culture; wachagga kuna lugha zaidi ya 8 na different cultures so hauwezi kusema ni wakabila moja na lugha Moja.
 
Umejaribu kutafiti kidogo, kwenye siasa 'fununu/tetesi' hazikosi.
Ila subiri waje wauthibitishie UMMA.

Chadema ni chama cha wandugu wananchi Tanzania hata wewe na familia yenu wote mnakaribishwa.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom