Buffy the vampire huwa ananikoroga kabsaa.
Ustaadhi labda utusaidie kuweka jina la mmoja wapo.....ama wale waliochangia hii thread....ushauri?
Mbona nyie mmetoka nje ya mada???mi mgeni...nakaribishwa?
Unakaribishwa....lakini kulikoni leo wageni kibao wamejiunga?
hii kitu ipo wapi nimuelekeze mtu aende hapo....mifiga yoote kama Bria Myles
hii kitu ipo wapi nimuelekeze mtu aende hapo....
kweli hata shori akiwa flat kitu kinatuna?ATL hiyo babake......
Mazee whats good....did you mean Buffie The Body? Buffy the vampire ndo nani tena huyo...Lol
Buffie the Body :: The People's Choice
hii kitu ipo wapi nimuelekeze mtu aende hapo....mifiga yoote kama Bria Myles
Thanks God
Uwezo wangu wa kufikiri hunipungua ninapoona kitu kama hii....ama kweli Mungu hupendelea wengine.....
Swali dogo tuu mkuu, mkeo mtarajiwa naye kafungasha?
BAK!
Hujatulia!
makalio yasiwe makubwaa saaana....Kwa hiyo waungwana mnaopenda akina dada wenye makalio makubwa, kwenu mwanadada asiye na makalio makubwa sio mzuri?
Hii thread ihamishiwe kwenye mambo ya kikubwa kwani mafuriko yanakuja
I think it is instinct, not a learned behavior. I also think you are wrong (somehow) kwani most men do not appreciate beauty by looking at the bumbum (only)
Lakini sio siri, ni chakula nzuri ya macho (when clothed) - chuo tulikuwa tunaita OPTICAL NUTRITION. lol
wewe mwanajamiiOneInavyoonekana wanaume wengi hupendelea wanawake wenye vijungu. Na mara nyingi wanawake wa aina hii kila wanapopita hutazamwa sana, hutaniwa na wengine hutongozwa kila mara. Swali langu ni kwa wale wanaume wenye wivu. Mnajisikiaje kuwa na mdada mwenye kijungu cha haja ambacho wewe wajua kuwa akipita mtaani madume wenzio hupagawa na wewe una wivu je huwa mnajikabili vipi?
Sense: kuna raha gani kupenda kitu ambacho kinapendwa na wengi? hamuogopi kuporwa?