Je ni kwasababu gani watu wanapenda wowowo?

Uzuri wa mwanamke ni UPUMBAFU ULIONAO mara (x) UMBALI kati yako na huyo mwanamke.
 
Nikikwambia nitakuwa nimesha mtaja na yeye hataki.
Mzee nitanyimwa haki ya msingi si unajua tena mambo yetu yaleeeeee.
haya mkuu aminia.

Ila kuna mabunganya mengine matamu sana kuyaangalia yakiwa yamefunikwa kwa nguo maana kiuhalisia yamekaa kama matonge matonge fulani hivi na ukishabaluza one way baaas mtu mzima unakinai kuendelea....
 
ila wakuu hiyo sehemu ya nyuma iliyojazia wanaume wote wanaipenda,maana ndo asili yetu waafrika wazungu wakaumbiwa slim figure,sasa hivi wamegundua ni attractive point wanajidunga masindano, huku bwana msichana akipita kwa mbele watu hawatoi salamu ila akishawapa mgongo kama kajaliwa salamu na maombi ya kusindikizwa kwa sana, ya wastani ndo mazuri zaidi kwa kuyaangalia tu siyo vyote vipendezavyo nafsi lazima uvitumie, ila inakua inaleta hamasa fulani kwenye lib**neke, na hata kwenye nguo mazee yanafit kwa sana, ila wakuu msiniweke kwenye hiyo list hapo juu chondechonde
 
...listi inaendelea

  1. FIDEL
  2. MASA...
  3. MSA...
  4. NDAHANI
  5. KIGOGO
  6. Yoyo
  7. Maane
  8. Lazy dog
  9. BAK
  10. BRAZAMENI
  11. KIFARU
  12. .......
Ongeza jina hapo......
 
mkuu hiyo kitu sijiexpress nayo kabisa, mbona kuna baadhi ya wanawake wanapenda mmwanaume mwenye kifua kipana na hakina action yoyote kwao, mkuu mimi mtu wa dini
 
mkuu hiyo kitu sijiexpress nayo kabisa, mbona kuna baadhi ya wanawake wanapenda mmwanaume mwenye kifua kipana na hakina action yoyote kwao, mkuu mimi mtu wa dini
nimekusoma ila utetezi haujatosheleza mkuu.
Mkuu fidel UPOOOOOO
 
Usinikumbushe kilio matangani ,na ungana na yule aliyesema mwanamke akuvalie kanga ni kweli kabisa,isitoshe inategemea na ukubwa wa (kifusi chake) kwa wale wenye vifusi vya wastani akikuvalia Kanga unaweza kuchagawa,lakini iwe kanga na sio matenge .umesha wahi kusikia mtu anamfuta mwanamke aliyemuona barabarani ili mradi aone ule mtetemeko wa makalio (BENCH)
 
aaah nani anaependa flat screen bana? nyuma lazima kutune......
 
Ukitaka kujua uzuri wa ngoma ingia ucheze. sasa wewe hutaelewa kwakuwa huenda sio mwanaume. Ungekuwa mwanaume ungeelewa kwa urahisi na wala usingeuliza. Kuna mambo ambayo wanawake wanapenda pia kwa wanaume. Wanaume hata ukiwaelezea hawataelewa na kupata the same enjoyment ambayo wanamke anapata akiadmire mwanaume. so? ni siri ya mwenyezi Mungu! Ungeweza kumuomba akuumbe mwanaume siku moja, ungeelwa na maswali yooote yangekwisha
 
Its true! Thos but**** are just optical nutrion s just for your eyes only! na they are good when dressed with clothes.
 
Its true! Thos but**** are just optical nutrion s just for your eyes only! na they are good when dressed with clothes.


if you don`t mind me ask kwani umesha wahi kuwa na msichana wa aina hiyo?
 
mkuu hiyo kitu sijiexpress nayo kabisa, mbona kuna baadhi ya wanawake wanapenda mmwanaume mwenye kifua kipana na hakina action yoyote kwao, mkuu mimi mtu wa dini

Makasisi na ma watawa watu wa dini lakini wanakandamiza, acha hizo za holier than thou.

images
 
Back
Top Bottom