Nchi imekosa Sauti, kila mmoja ni kambale ndiyo matokeo yake. Maji hayatoki waweza kuta wenye Water Bozza wamechanga mzigo kuwapa Vijana waweke kauzibe ili wauze maji wao.ndugu zangu,
hizi mvua zinanyesha mpaka mafuriko, ila maji hayatoki kwenye mabomba je na DAWASA kuna mgao? sababu ni nini?
hivi kweli hakuna kiongozi wa kusimamia haya mambo? umeme shida maji shida huku mvua zanyesha hadi zasababisha maafa?
Mvua imeharibu miundombinu chini ya ardhi.ndugu zangu,
hizi mvua zinanyesha mpaka mafuriko, ila maji hayatoki kwenye mabomba je na DAWASA kuna mgao? sababu ni nini?
hivi kweli hakuna kiongozi wa kusimamia haya mambo? umeme shida maji shida huku mvua zanyesha hadi zasababisha maafa?
Ivi unajua km asilimia kubwa ya maji ya mvua hasa mjini sio salama?ila lakini na wewe ndugu unalalamika na huku mvua inanyesha maji yanairirika usiku kucha unayashangaa tu ....
ama kweli mazoea yana tabu 🐒
umejuaje hiyo asilimia kubwa.Ivi unajua km asilimia kubwa ya maji ya mvua hasa mjini sio salama?
Af argument yako ni baseless, retarded