kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Kuna binamu yangu ambaye nimetokea kumpenda sana, mtoto wa shangazi yangu mama yake na baba yangu wana mama mmoja wa baba tofauti.
Uyo shangazi ana mtoto wake wakike nampenda sana mpaka inafika kipindi sasa nashindwa kudhibiti hisia zangu, naona ni waite wazazi niwambie ukweli kuwa nimetokea kumpenda mtoto wa shangazi yangu, na nataka kuoa.
Je, ni halali kweli mtu kuoa binamu yake au ni maneno tu ya kijiweni?
Nisije jikoroga huko!