Je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring?

Sep 24, 2014
53
31
Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
 
ukifanya wiring baada ya kuweka board, siyo vyema as kutakua na giza kule juu, na hewa itakua finyu, kazi itakua nzito kidogo
 
Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
Kuanza kuweka gypsum kunaweza kukugharimu baadaye ikiwa fundi wako wa umeme hatakuwa makini katika kufanya kazi yake.
Tahadhari kubwa lazma ichukuliwe wakati anafanya wiring.
Mimi nimefanya kwa Boss mmoja Dodoma,but nashukuru mpk namaliza sikuvunja gypsum yoyote...lakini nilimwambia kazi kama hizi unaweza kujikuta unaingia gharama mara mbili, hasa ikiwa nyumba yako ni fupi kwenye dari,.aana fundi atakosa nafasi ya kufanya kazi yake kwa ufanisi
 
Back
Top Bottom