thirteen06
Senior Member
- May 17, 2021
- 119
- 98
Moja kwa moja kwenye mada.
Katika harakati za kutafuta mwenza swala hili limekuwa likielezewa katika namna tofauti tofauti na baadhi ya wanawake Wakati mwingine utasikia wakisema;
"Nimeshachoka kuwa katika mahusiano yasiyoeleweka Sasa nataka nipate mwanaume awe mume nami niwe mke nitulie tuanzishe familia".
Na baadhi ya wengine wakitoa ushuhuda kuwa wake zao waliwapata katika mazingira haya ya sintofahamu na baadaye wakaja kubadika kabisa wakawa wake wema na Bora kabisa.
Sasa wakuu kuna uhalisia wowote katika hili? Au tunarudi kulekule kwamba tabia ni kama ngozi huwezi ibadili?