Je, mwanamke kuwa na wanaume wengi kabla ya kuolewa nini sababu? Na akishaolewa anaweza kubadilika na kutulia?

thirteen06

Senior Member
May 17, 2021
119
98
Moja kwa moja kwenye mada.

Katika harakati za kutafuta mwenza swala hili limekuwa likielezewa katika namna tofauti tofauti na baadhi ya wanawake Wakati mwingine utasikia wakisema;

"Nimeshachoka kuwa katika mahusiano yasiyoeleweka Sasa nataka nipate mwanaume awe mume nami niwe mke nitulie tuanzishe familia".

Na baadhi ya wengine wakitoa ushuhuda kuwa wake zao waliwapata katika mazingira haya ya sintofahamu na baadaye wakaja kubadika kabisa wakawa wake wema na Bora kabisa.

Sasa wakuu kuna uhalisia wowote katika hili? Au tunarudi kulekule kwamba tabia ni kama ngozi huwezi ibadili?
 
Huo unakuwa ni sawa na ulevi wa sigara, ukianza kuvuta kuiacha inahitaji jitihada nyingi sana.
 
Jasiri huwa haachi asili!
Itategemea jinsi gani utaweza kummiliki!
Ila njia rahisi ya kummiliki ni wewe kuwa na pesa ndefu na kitandani umridhishe vya kutosha!
Yaani kwa ujumla uwe daraja la juu kidogo ya wale alokuwa anawazungukia!
Lakini ukiwa hoi mfukoni na kitandani maji yakakuzidi unga, aisee hapo lazima atakupangisha foleni tu!
 
Mwanamume anayeweza kusimama na kujisifu mbele za watu kuwa ameoa ni yule tu aliyeoa Mke akiwa Bikra. Wengine wote mmeoa wake za wenzenu.

Fahamu kwamba hakuna "kuku" anayesahau mlango wa banda lake. Mwenye akili amenielewa.
Mkuu ngoja ninywe biere huku nikijisifu....
 
Kuna mdau kasema..."Hamna kuku anayesahau mlango wa banda lake"

Kiuhalisia Ngono ni suala la kiroho. Ndio maana kupitia ngono, Kiumbe anazaliwa..kiumbe anakufa ...

Uhai na kifo ni Roho


Ivo basi niseme kua, Kiuhalia, Ulinzi wa Ndoa ulipaswa kuimarisha kwa uwepo wa "Bikra"...... Ila pia Ubikra sio sababu ya mwanamke kutokuliwa nje, sanasana inasaidia kupunguza uwezekano.


Je asobikra ,alotembea na wanaume wengi hafai kuolewa ?? jibu ni hapana.



Kuna yule mwanamke alikua kahaba, alipomuona Yesu, akimlilia na Kwa Imani Yesu akamfanya kua Mpya kama mtoto mdogo.... Waandishi wa Teolojia wanasema kua Yule Mama alikuja kua Mama Bora



OENI WANAWAKE WACHA MUNGU. WENYE HOFU NA MUNGU, WANAOSALI/KUSWALI KWELIKWELI...

MUNGU NI WA WENYE BIKRA, NI WA WASOKUA NA BIKRA, WOTE ANAWAPENDA.

KUNA MWENYE BIKRA LKN MCHAWI KWELIKWELI.





HATA MAMA J WA YANGA, ALIOLEWA NA BIKRA, ILA KWA SABABU NI CHAPOMBEEEE, WAHUNI WANATELEZA
 
Back
Top Bottom