HahahaaaMdhambi ataonaje dhambi Sasa..😅
Usichelewe kurudi mkuu wewe niwamuhimu sanantarudi
Mkuu kwa mwanamke kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume kuanzia 3 kwa Wakati mmoja tayari niwengi. Nature ya mwanamke sio sawa kupitiwa pitiwa ndio maana mwanamke akifanya hivo bas utaskia mhh flan ashatumika Sana tofauti na me.Wanaume wengi unaongelea wangapi kwanza!! Mbona huwa tunakuwa tumekuwa na mmoja tu na wewe ndio wa pili
Yaani hii ni point muhimu sana. Kama demu ulikuta breki pumbu usijidanganye kabisa kuoa. Itakula kwako tuuKunguru hafugiki.. !
Usioe mtu kwa kigezo utambadilisha au atabadilikia.. hii ni mistake!!
Uki puuzia zile signs uatakazoziona wakati wa mahusiano... imekula kwako.
Mkuu nimeona ni vema tu kuwa specific katika hili na sjamaanisha vyovyote vile inavyoweza kufikiriwa. Na katika uhalisia wa nature pia mwanamke anapaswa kujitunza zaidi kuliko me. Hii Ni katika kujiweka katika Hali Bora zaidi kwa sababu ya kimaumbile na hata katika swala la magonjwa mwanamke nirahisi Sana kupata maambukizi kuliko me.Swali, kwanini mada yako imelenga wanawake tu na si wanawake na wanaume?
Mnataka mfaidi peke yenu!! Tumestuka, nyie shutumuni tu.Mkuu kwa mwanamke kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume kuanzia 3 kwa Wakati mmoja tayari niwengi. Nature ya mwanamke sio sawa kupitiwa pitiwa ndio maana mwanamke akifanza hivo bas utaskia mhh flan ashatumika Sana tofauti na me.
ukikosa hela automatically kitandani haufaiJasiri huwa haachi asili!
Itategemea jinsi gani utaweza kummiliki!
Ila njia rahisi ya kummiliki ni wewe kuwa na pesa ndefu na kitandani umridhishe vya kutosha!
Yaani kwa ujumla uwe daraja la juu kidogo ya wale alokuwa anawazungukia!
Lakini ukiwa hoi mfukoni na kitandani maji yakakuzidi unga, aisee hapo lazima atakupangisha foleni tu!
Mkuu nimeona ni vema tu kuwa specific katika hili na sjamaanisha vyovyote vile inavyoweza kufikiriwa. Na katika uhalisia wa nature pia mwanamke anapaswa kujitunza zaidi kuliko me. Hii Ni katika kujiweka katika Hali Bora zaidi kwa sababu ya kimaumbile na hata katika swala la magonjwa mwanamke nirahisi Sana kupata maambukizi kuliko me.
Hapana kukosa pesa na kuwa fit kitandani ni vitu 2 tofauti!ukikosa hela automatically kitandani haufai
Mkuu hii Ni sayance,, otherwise Kama unataka kupingana nayo utoe fact za kuipinga.Mwanamke ni rahisi kupata magonjwa? Hii sayansi ya wapi mkuu?
Piga kifua mbele wale wote tuliofungua milango wenyewe.Mwanamume anayeweza kusimama na kujisifu mbele za watu kuwa ameoa ni yule tu aliyeoa Mke akiwa Bikra. Wengine wote mmeoa wake za wenzenu.
Fahamu kwamba hakuna "kuku" anayesahau mlango wa banda lake. Mwenye akili amenielewa.
Lakini hii huwa wenyewe wanaipinga Sana mkuu #..Mwanamume anayeweza kusimama na kujisifu mbele za watu kuwa ameoa ni yule tu aliyeoa Mke akiwa Bikra. Wengine wote mmeoa wake za wenzenu.
Fahamu kwamba hakuna "kuku" anayesahau mlango wa banda lake. Mwenye akili amenielewa.
Hukufafanua magonjwa gani...Mkuu hii Ni sayance,, otherwise Kama unataka kupingana nayo utoe fact za kuipinga.View attachment 1920806
Ubishi wa bure tu mada inahusu nini hadi uendelee kubisha!?Hukufafanua magonjwa gani...
Umeweka reference ya STDs, sasa umekuwa specific...
Wewe uliyeelewa unaona hii mada inaelezea habari za wanawake na magonjwa?Ubishi wa bure tu mada inahusu nini hadi uendelee kubisha!?