ABRAHAM LINCOLN
Member
- Dec 23, 2011
- 28
- 10
Shbuda shibuda,mbona mimi ndiye mkubwa wa chadema aliyetoa gari lake jana liganga kuwabeba makamanda bure simjui huyu mnafiki.tulishamfukuza wala msiwe na wasiwasi makamanda wenzangu.Wajameni vibaya hivyo,mwenzenu alikuwa makao makuu akilinda ofisi kwani mnadhani nani aliachwa kulinda!