Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

Hilo ndo swali la msingi. Jamaa alienda huko kijanja ujanja na data zote zipo. Hii game si ya kuipeleka kwa papara. Nitakuwa nawadondoshea kidogo kidogo. Sina haraka hata kidogo. Leo ni uzinduzi tu na mwanzo wa kumuumbua Mbowe

Hutaweza kudondosha wala kumuumbua yoyote wewe maana huna cha kuumbua!!

Kama unabisha tunakusubiri siyo kesho tu bali hata kama mpaka mapema kabla ya 2020 ili ujiandae vizuri kushusha hilo bomu!!

Mmeshindwa tangu mwaka 2005 leo muweze mwaka 2016??

Mmeshindwa kumuua kisiasa Mbowe kwa kigezo cha "elimu yake" miaka nenda rudi hata mmeamua kumtumia Nehemia Mchechu wa NHC eti kwa kigezo cha kodi ya pango, muweze kesho??
 
Kidato cha NNE kasoma Kibaha secondary, nenda hapo katafute details acha kutujazia threads....

Lizaboni.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nianze kwa kusema kuwa lengo la chama chochote cha siasa ni kutwaa dola. Chama cha siasa si kama chama cha Mpira wa miguu ama chama cha kuimba muziki wa singeli. Kwa maana nyingine chama kinachoshinda uchaguzi ndicho hutwaa mamlaka ya nchi na ndicho huunda Serikali. Ni kwa muktadha huo, Kiongozi wa Chama cha Siasa anapaswa kuwa na sifa zile zile ambazo kiongozi wa nchi anapaswa kuwa nazo. Hata kama Mwenyekiti wa chama kilichoshinda hajagombea, ataendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na atasimamia utendaji wa Rais wake.

Hii ni hoja ya msingi sana na sijajua kwa nini wasomi wengi bungeni akina Tundu Lissu hawalioni? Sijajua pia kwa nini washirika wa ukawa akina James Mbatia hawalizungumzi kwa lengo la kutoa hoja ili lijadiliwe bungeni.

Wadau, chaka kikiongozwa na kihiyo madhara yake ni makubwa. Chama kinakuwa cha hovyo na kinakuwa na watu wa hovyo. Ndo maana hata kwenye uchaguzi wanafanya hovyo. Kwani Mwenyekiti hovyo huzaa chama hovyo na wafuasi hovyo.

Tuache masihara katika masuala ya nchi. Hivi mliwahi kujiuliza kwa sasa kwa nini Mbowe hana hamu ya kugombea Urais? Anatamani sana tena sana ila vigezo na masharti havikidhi. Ni Form Four Leaver! Nasikia hata hicho cheti cha form four alikipata kimagumashi. Ndio maana humsikii anasema lolote kuhusu vyeti feki kwa vile hata yeye ana cheti feki cha kidato cha Nne.

Taarifa zilizopo ni kwamba, Freeman Mbowe hakuwahi kufanya na kufaulu mtihani wa Kidato Cha Nne lakini ana cheti cha Form Four. Hakuna ushahidi na wala uthibitisho kuwa alifanya mtihani huo. Je Mbowe alipataje cheti cha Form Four wakati hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo? Nini kilichopo nyuma ya pazia? Nani alisimamia hilo?

My brother Freeman Aikael Mbowe, ili kuondoa shaka hiyo kuwa hujafanya na kufaulu mtihani wa kidato cha Nne, hebu jitokeze hapa au wape wale vijana wako waiweke hapa kuondoa huo utata. Kuendelea kukaa kimya ni sawa na kuhalalisha kuwa kisemwacho kipo.

Katika kurahisisha utetezi wako, hebu jibu maswali haya.

1. Je ulianza kidato cha kwanza mwaka gani na ulimaliza lini?
2. Ulisoma shule gani?
3. Wakati unamaliza kidato cha Nne, Mkuu wako wa Shule alikuwa anaitwa nani?
4. Unakumbuka namba yako ya usajili wa mtihani wa Form Four? Itaje.
5. Matokeo ya Form Four yalikuwaje? Je yalikuwezesha kuendelea na elimu ya kidato cha Tano?
6. Ambatanisha vielelezo ikiwa ni pamoja na nakala ya Cheti cha Kidato cha Nne

Ndugu yangu Unachekesha,
Wewe mwenye madai ndio chukua uthibitisho/vielelezo ulivyonavyo; Peleka polisi ili kwa kushirikiana na vyombo vingine dola vinavyostahili, wao waende baraza la mitihani na kungine kokote kutakakohitajika, ili kuthibitisha ukweli wa hayo madai yako. NA huo ndio utaratibu utakaofanya chochote kilichoonekana katika uchunguzi huo, kikubalike na kuheshimika rasmi kisheria. Mbona unajihatarisha kwa kujipa mamlaka isiyo yako? Utakapokwama si aliekutuma wala wanaokushabikia watakaoweza kukusaidia.
 
Hivi mliwahi kujiuliza kwa sasa kwa nini Mbowe hana hamu ya kugombea Urais?
Mbona aliishagombea 2000; alipampambana na Mheshimiwa Mkapa, Mhe Lipumba na Mhe Mtikila. Waweza kwenda NEC ukajulishwa hata idadi ya kura ya mikutano ya kampeni na kura alizopata. Wee ndo tunakushangaa mbona hujagombea?
 
HIZI NI TUHUMA, MUHUSIKA AJE AKANUSHE AU ATUME WATU WAKANUSHE.

CREATE A LIAR AND REPEATS IT SEVERAL TIMES..........
 
Mtoa post unataka kupotezea ile ya permanet head damage ya mkulu n form four ya mbowe. Mm nitoe Rai wote wamefoji. Waachie nyadhifa zao. Hili litakuwa jema. Mzee wa nywele nyeupe achukue
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nianze kwa kusema kuwa lengo la chama chochote cha siasa ni kutwaa dola. Chama cha siasa si kama chama cha Mpira wa miguu ama chama cha kuimba muziki wa singeli. Kwa maana nyingine chama kinachoshinda uchaguzi ndicho hutwaa mamlaka ya nchi na ndicho huunda Serikali. Ni kwa muktadha huo, Kiongozi wa Chama cha Siasa anapaswa kuwa na sifa zile zile ambazo kiongozi wa nchi anapaswa kuwa nazo. Hata kama Mwenyekiti wa chama kilichoshinda hajagombea, ataendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na atasimamia utendaji wa Rais wake.

Hii ni hoja ya msingi sana na sijajua kwa nini wasomi wengi bungeni akina Tundu Lissu hawalioni? Sijajua pia kwa nini washirika wa ukawa akina James Mbatia hawalizungumzi kwa lengo la kutoa hoja ili lijadiliwe bungeni.

Wadau, chaka kikiongozwa na kihiyo madhara yake ni makubwa. Chama kinakuwa cha hovyo na kinakuwa na watu wa hovyo. Ndo maana hata kwenye uchaguzi wanafanya hovyo. Kwani Mwenyekiti hovyo huzaa chama hovyo na wafuasi hovyo.

Tuache masihara katika masuala ya nchi. Hivi mliwahi kujiuliza kwa sasa kwa nini Mbowe hana hamu ya kugombea Urais? Anatamani sana tena sana ila vigezo na masharti havikidhi. Ni Form Four Leaver! Nasikia hata hicho cheti cha form four alikipata kimagumashi. Ndio maana humsikii anasema lolote kuhusu vyeti feki kwa vile hata yeye ana cheti feki cha kidato cha Nne.

Taarifa zilizopo ni kwamba, Freeman Mbowe hakuwahi kufanya na kufaulu mtihani wa Kidato Cha Nne lakini ana cheti cha Form Four. Hakuna ushahidi na wala uthibitisho kuwa alifanya mtihani huo. Je Mbowe alipataje cheti cha Form Four wakati hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo? Nini kilichopo nyuma ya pazia? Nani alisimamia hilo?

My brother Freeman Aikael Mbowe, ili kuondoa shaka hiyo kuwa hujafanya na kufaulu mtihani wa kidato cha Nne, hebu jitokeze hapa au wape wale vijana wako waiweke hapa kuondoa huo utata. Kuendelea kukaa kimya ni sawa na kuhalalisha kuwa kisemwacho kipo.

Katika kurahisisha utetezi wako, hebu jibu maswali haya.

1. Je ulianza kidato cha kwanza mwaka gani na ulimaliza lini?
2. Ulisoma shule gani?
3. Wakati unamaliza kidato cha Nne, Mkuu wako wa Shule alikuwa anaitwa nani?
4. Unakumbuka namba yako ya usajili wa mtihani wa Form Four? Itaje.
5. Matokeo ya Form Four yalikuwaje? Je yalikuwezesha kuendelea na elimu ya kidato cha Tano?
6. Ambatanisha vielelezo ikiwa ni pamoja na nakala ya Cheti cha Kidato cha Nne
Alisomea marekani
 
Ndio mana Mbowe na Mnyika hawataki Katiba ya Warioba.. Ambayo iliweka kigezo cha Elimu Diploma.. Naomba kufanyike marekibisho sheria ya vyama vya Siasa Mwenyekiti wa Chama awe na shahada.. Tuone vioja vya Mbowe
 
Mtoa post unataka kupotezea ile ya permanet head damage ya mkulu n form four ya mbowe. Mm nitoe Rai wote wamefoji. Waachie nyadhifa zao. Hili litakuwa jema. Mzee wa nywele nyeupe achukue
Ivi nikisoma LA kwanza had I form 4 marekani nikija bongo ntakua nimefoji
 
Ndio mana Mbowe na Mnyika hawataki Katiba ya Warioba.. Ambayo iliweka kigezo cha Elimu Diploma.. Naomba kufanyike marekibisho sheria ya vyama vya Siasa Mwenyekiti wa Chama awe na shahada.. Tuone vioja vya Mbowe
Wakamwambia chenge atunge kile kijarida?? Wakaacha rasimu yenye adabu???
 
Nawasubiri wale watetezi wake waje hapa na uthibitisho. Haya mambo ya kusema mara oooh alifaulu na kwenda kusoma Form Five Ihungo hayana mashiko. Aweke matokeo yake halisi hapa na si yale ya magumashi
We Lizaboni tanguliza matokeo yako kwanza manake taarifa zilizopi wewe mi mbabaishaji tu kielimu
 
Back
Top Bottom