Je, Mabinti wa Mtume wetu walipofariki walizikwa na Waume zao?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu wapendwa naambiwa Mtume wetu Mohamed wakati wa uhai wake hapa duniani alijaaliwa kupata Mabinti kadhaa ambao walibahatika kuolewa.

Naomba kujua kama suala hilo ni kweli je Mabinti hao walipofariki walizikwaje? Na Waume zao au Baba yao?

Karibuni tujadili tukitoa ushahidi kupitia maandiko matakatifu

Lugha zisizo na staha hazitakubalika
 
Swali gumu..."walizikwa na waume zao"
(1) Je baada ya kufa kwao, waume zao ndio waliochukua majukumu ya kuwazika?
(2) Je walipokufa walizikwa sambamba na waume zao?
Sasa hapo swali la dhamira yako ni lipi?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu wapendwa naambiwa Mtume wetu Mohamed wakati wa uhai wake hapa duniani alijaaliwa kupata Mabinti kadhaa ambao walibahatika kuolewa.

Naomba kujua kama suala hilo ni kweli je Mabinti hao walipofariki walizikwaje? Na Waume zao au Baba yao?

Karibuni tujadili tukitoa ushahidi kupitia maandiko matakatifu

Lugha zisizo na staha hazitakubalika
Katika hii dunia hapajawshi tokea huyo Mtu ni hadithi tu eti mtu kafa miaka ya 500 kitabu cha kwanza miaka ya 800 hivi kuna ukweli hapo
 
Back
Top Bottom