Je lugha bora ya utoa elimu ni kiingereza ama kiswahili

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Je unadhani lugha ya kufundisha ikiwa kiswahili wanafunzi wa sekondari wataelewa na kuongeza kiwango cha kufaulu
 
Je unadhani lugha ya kufundisha ikiwa kiswahili wanafunzi wa sekondari wataelewa na kuongeza kiwango cha kufaulu

we jamaa kila ukija jamvini unapost topic.

Si sheria kila saa kuanzisha post.
 
Nenda jukwaa la lugha, ukurasa wa kwanza tu, utakuta thread inazungumzia hayo na utaona maoni ya walio kutangulia.
 
Je unadhani lugha ya kufundisha ikiwa kiswahili wanafunzi wa sekondari wataelewa na kuongeza kiwango cha kufaulu

Ki ukweli lugha ya kiswahili ni complicated sana hususan kwenye mambo ya masomo ya computer.Ubaya unakuja pale elimu yenyewe imepangwa na wazungu hata mtaala wenyewe tunatumia wa UINGEREZA.so kazi kwenu kuvibadili vitabu kuwa kwenye kiswahili.ILA MOST YA WATALAAMU WETU WATAKUWA WANAKUWA APPLICABLE WITHIN NA LACK SOKO LA NJE.
 
Back
Top Bottom