Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
kwa hiyo mgomo wa madaktari umepewa tiketi rasmiKodi za magari hazijaongezwa, nilivyosikia mimi ni kuwa miaka ya magari chakavu imepunguzwa kutoka 10 hadi minane, maana yake ni kuwa kama kwa sasa tunalipia kodi ya uchakavu 20% kwa magari ya kuanzia miaka 10 na kuendelea, kwa sasa ni miaka 8 na kuendelea. Nadhani hii ni nzuri sana, mwakani wafanye 5 tu.
Na kingine ni baadhi misamaha ya kodi kwa magari imeondolewa. Nadhani hapa watakuwa wameumia madaktari, waalim na Watanzania wanaorudi baada ya kuishi nje, bunge linavyoendelea tutaelewa zaidi.