je kuna usajili wa laptop?

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,519
7,558
mamlaka ya mawasiliano imepitisha usajili wa simu( laini pamoja na simu yenyewe IMEI number) ambayo baadae itawezesha pia kuzuia matumizi ya simu ambazo zimeibwa. je kuna usajili wa aina hiyo wa laptop, kwa sababu kuna matumizi makubwa pia ya internet kwa kifaa hiki ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza kufanikisha kutrace laptop iliyoibwa au mtumiaji wake?
 
Thanks ni wazo zuri sanaa bora lisikae kisiasa manaake kwa simu watu bado wanapwaga na simu zisizosajiliwa......
 
Back
Top Bottom