Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Well, nijuavyo mimi Capitalism na na Christianity 1-1, Christianity ndio baba wa Capitalism au kwa maneno mengine Christianity imeanzisha Capitalism au free market economy inayotawala Dunia ya leo.

Pia usisahahu corruption kubwa nchini mwetu imetokea wakati wa Awamu ya 4 na sasa hivi na hawa wote wawili have one thing in common, Islam.

Hii nchi haijawahi kuwa mismanaged kama sasa hivi na Awamu ya 4, …
Umesahau awamu ya pili
 
Dini ya kikristo ni ya mchongo tu

FB_IMG_1652986862734.jpg


FB_IMG_1652988700079.jpg


FB_IMG_1652988805804.jpg
 
Marais wote wakristo wana uchungu kuliko wale waislam,so moja kwa moja unajua ikiwa na uchungu na kitu utahangaika ukifanikishe na katika kukifanikisha utakwamishwa.
Hii Ni Kweli...lakini Ni coincidence Tu iliyotokea Kuwa Maraisi wakristo ndo walikuwa Na maono kibao Na waislam wakawa laizure fair..lakini Ni Bahati Tu iliyotokea... mtu yoyote wa Dini yoyote anaweza Kuwa laizure fair au mtu visionary.
 
Hauni hao wakristo wamekufa wote

Huoni mkristo wa kwanza ndo aliua nchi kubaribu viwanda kweny mikoa kisa mikoa hyo inaishi waislamu

Huoni mkristo wa Kwanza aliweka mikakati ya kufelisha waislamu mpaka ulipokuja mfumo wa mamba chini ya kigoma malima
Huyo mkristo alietaifisha shule zote za kikristo ili waislamu mmsome ndo aliharibu nchi?
 
Hata huku mtaani wenzetu waisilam elimu dunia hawaitilii maanani
Hata ninyi kwa mwendo huu wa sasa wa kuadimika kwa ajira serikalini mtaanza kujiongeza. Mtagundua kuwa unachohitaji sana ni kumjua Mungu na maarifa kidogo ya kidunia. Ambayo hata wewe unaweza mpa mwanao akapata maendeleo na wala si lazima kushinda na Yale mavitabu ya kina Lambert, Antickson etc. Huoni hata ninyi sasa mmeshaanza kuhojiana kuhusu ubora wa hiyo elimu dunia ambayo mlikuwa mkijivunia miaka yote
 
Unaposema elimu kuunga unga na JK ukamuweka humo halafu wengine ukasema straight to University sijui ulimaanisha nini?! Maana Hata John hakwenda university direct. Alimaliza Diploma 1982 then akaenda kufundisha sekondari baadaye akajiendeleza na kupata Degree 1988 na baadaye masters na Phd
 
Wanabodi,

Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors.

Haya ni maswali valid yanayo hitaji majibu ya utafiti wa kina.

Tanzania tumebahatika kuwa na marais 6.
  1. Julius Kambarage Nyerere
  2. Ali Hassan Mwinyi
  3. Benjamin William Mkapa
  4. Jakaya Mrisho Kikwete
  5. John Pombe Magufuli
  6. Samia Suluhu Hassan
Dini Zao
  1. Mkiristu
  2. Kiislamu
  3. Mkiristu
  4. Muislamu
  5. Mkiristu
  6. Muislamu
Hapa kwenye Dini zao, naona kama kuna kupokezana kati ya Mkiristu na Muislamu, jee is it planned au imetokea tuu?. Kama ni planned, then anayefuata ni lazima atoke upande wa pili. If it just happened, then anaweza kufuatiwa na wa kutoka upande wowote.

Denominations zao
  1. Mkiristu RC
  2. Muislamu
  3. Mkiristu RC
  4. Muislamu
  5. Mkiristu RC
  6. Muislamu
Kwa Wakristu, rais akiwa Mkiristu je ni lazima awe RC?. Kwanini wote walioshika urais ni RC only?. Is this planned or it just happened?.
If it's planned ni nani anayepanga?. Hivi Wakristu wa dominions nyingine kama Lutherans, Anglicans, Wasabato, Walokole etc hawawezi?.

Kwa Waislamu, Tanzania tuna Sunni, Issmailia Ahamadia, wale Mabohora, jee nao kuna siku watapata zamu?.

Uhai wao
  1. Amekufa
  2. Yuko Hai
  3. Amekufa
  4. Yuko Hai
  5. Amekufa
  6. Yuko Hai
Jee kuna uhusiano wa dini fulani na longevity?. Kwanini ni marais wa dini moja tuu ndio wametangulia, lakini wa dini nyingine wote wapo?.

Elimu Zao
  1. Straight to University Masters Level
  2. Aliunga Unga ila alipata Masters
  3. Straight to University Masters Level
  4. Aliunga Unga Ila alipata Bachelor ya GPA flani
  5. Straight to University Ph.D iliotiliwa shaka humu JF, (mtia shaka just vanished into thin air)
  6. Aliunga Unga to Masters
Jee kuna uhusiano wa IQ na dini ya mtu?.
Kwa nini watu wa dini fulani shule imesimama, halafu wa dini nyingine ni shule za kuunga Unga?.

Matumizi ya Busara
  1. Busara Sana
  2. Busara Sana na ustaatarabu
  3. Hakuna Busara Ila Ustaatabu
  4. Muungawana, Busara, Ustaarabu
  5. Hakuna Busara, Uungwana wala Ustaarabu
  6. Busara, Uungwana, Ustaarabu Ila na Mipasho!.
Kwanini watu wa dini fulani ndio wanaonekana na busara zaidi kuliko wa dini nyingine?. Jee kuna uhusiano wa dini ya mtu na busara?

Dhana ya Udikiteta
  1. Dikiteta
  2. Hakuwa Dikiteta
  3. Dikiteta
  4. Hakuwa Dikiteta
  5. Dikiteta
  6. Sio Dikiteta
Viongozi wetu madikiteta au wenye udikiteta ni wa dini fulani tuu!. Jee kuna uhusiano wa dini na udikiteta?.

NB. Ni wakati naliandika bandiko hili ndio nikaisikia hii sauti
Paskali
Wewe mayalla ni zuzu sana, kwani ujui kuwa kuna dictator mzalendo na dictator asiye mzalendo
TANZANIA TUNATAKA RAIS DICTATOR TENA DICTATOR KWELIKWELI ILA AWE MZALENDO TENA MZALENDO KWELIKWELI , tz tunapata bahati ya kuwa na viongozi wazalendo wakristo kuliko waislum ndiyo maana tunapiga hatua 5 mbele nchi ikiwa mikononi mwa mkristo na kupiga hatua 10 nyuma nchi ikiwa mikononi mwa waislamu kwa sababu marais wote waislamu tuliopata tz wanasujudia mabeberu , VIONGOZI WAISLAMU WANAZINGATIA KILA NENO LITOKALO KWENYE KINYWA CHA BEBERU WAKATI VIONGOZI WAKRISTO WANAZINGATIA UZALENDO NA AKILI
 
Moto utawaka humu..wafia dini watapigania ndugu zao waarabu na wazungu.

Kimsingi hakuna uhusiano wowote katika hayo.

Umri wa kuishi na iq ni matokeo ya maisha na mazingira mtu aliyokulia..

Wachangiaji wenye mihemko jifunzeni historia kisha kasomeni kitu kinaitwa blue zone.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom