Je Katiba ni mali ya Serikali? Kama sivyo, kwa nini mpaka Rais ndo aruhusu mchakato?

Kama hawataki nguvu itumike kuwaondoa. Nguvu gani? Hapo ndio sijui maana sina ushauri wowote, yaweza kuwa nguvu ya umma au vinginevyo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Jambo muhimu la kuzingatia ni kwamba mchakato wa sasa utakapo anza hata watu wakizira na kususa bunge maalumu, Lazima ukamilike 🤓

maana kudeka kwingine hakuna maana, hawezekani uzire na kususa saivi halafu baadae baadae tena uje kudai na kutamani tena kile kile ulichoziria 🤣

huu ni undezi wa kiwango cha standard gauge kabisa 🐒
 
Back
Top Bottom