Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,711
- 13,083
Jambo muhimu la kuzingatia ni kwamba mchakato wa sasa utakapo anza hata watu wakizira na kususa bunge maalumu, Lazima ukamilike 🤓Kama hawataki nguvu itumike kuwaondoa. Nguvu gani? Hapo ndio sijui maana sina ushauri wowote, yaweza kuwa nguvu ya umma au vinginevyo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
maana kudeka kwingine hakuna maana, hawezekani uzire na kususa saivi halafu baadae baadae tena uje kudai na kutamani tena kile kile ulichoziria 🤣
huu ni undezi wa kiwango cha standard gauge kabisa 🐒