Je, kanumba kambaka lulu? Umri wake chini ya miaka 18?

Hakumbaka na angeweza kumwoa ila ingemlazimu kupata ridhaa ya wazazi wake na Lulu kwa sababu ya umri. sheria inaruhusu mwanake mwenye umri wa miaka 14-17 kuolewa ila kwa ridhaa ya wazazi wake. Pia asiwe mwanafunzi
 
Hii case ya huyu binti Lulu ina mambo mengi sana ya kujiuliza.....hope we had forensic expertise in the country..lakini hamna na kuna hatari sana ukweli halisi wa kilichotokea usijulikane.....kama ambavyo inakuwaga kwenye case nyiiingi tu TZ.....Ukosefu wa taaluma ya forensic medicine lazima utaathiri kesi hii.....mfano: kwenye post mortem investigations kumeonesha kuwa marehemu Kanumba alipata brain concussion(mshtuko wa ubongo)uliopelekea kuzimika kwa mfumo wake wa hewa na hata kupoteza maisha.....Ijulikane tu kuwa mshtuko wa ubongo hutokea kwa kugonga/kugongwa/au mtikisiko mkubwa wa kichwa....ambao unaweza kusababishwa na either kuanguka na kujigonga chini/ukutani au kugongwa na mtu mwingine......hapa ili kupata jibu la hakika la kilichotokea lazima kuwe na mambo ya forensic medicine expertise...mfano kupima DNA traces kwa vitu vilivyokuwepo around chumbani n.k...n.k.....kifupi kunahitajika uchunguzi wa kina ili ukweli ujulikane...jambo ambalo sidhani kama kwa TZ yetu litafanyika.....nionavyo watachukua tu short cuts.....kwa vigezo vya kimazingira......na kumtia/kutomtia hatiani huyo binti.
Tukija upande mwingine.......nimesoma gazeti la daily news hapa....soma...http://www.dailynews.co.tz/index.ph...ice-work-on-clues-to-cause-of-kanumba-s-death> Ukisoma hii story ya mkuu wa polisi Kinondoni Charles Kenyela inasema.....kwa maelezo na makovu ya kutoka kwa huyo binti ...inaonyesha marehemu katika ugomzii wao alimpiga kwa panga(michete)Lulu katika sehemu zake za siri.....jambo ambalo anasema kwa sasa Lulu anauguzia majeraha madogo madogo kwenye sehemu zake za siri......Sasa kwa kuangalia hizi info naweza kusema tu hii case ni kubwa sana na inahitaji investigations beyond the just conducted postmortem......ili ku rule out homicide au manslaughter au suicide......
 
Mh. Hiyo tena kali. Alimpiga panga??? Makovu sehemu za siri???? Nina mashaka pia na ujuzi na uwezo wa polisi wetu. Mara alimtwanga vibao mara panga; wasije kuwa wanatengeneza stories za kuuzia sura kwenye TV. Si wakae kimya mpaka uchunguzi uishe.

Hii case ya huyu binti Lulu ina mambo mengi sana ya kujiuliza.....hope we had forensic expertise in the country..lakini hamna na kuna hatari sana ukweli halisi wa kilichotokea usijulikane.....kama ambavyo inakuwaga kwenye case nyiiingi tu TZ.....Ukosefu wa taaluma ya forensic medicine lazima utaathiri kesi hii.....mfano: kwenye post mortem investigations kumeonesha kuwa marehemu Kanumba alipata brain concussion(mshtuko wa ubongo)uliopelekea kuzimika kwa mfumo wake wa hewa na hata kupoteza maisha.....Ijulikane tu kuwa mshtuko wa ubongo hutokea kwa kugonga/kugongwa/au mtikisiko mkubwa wa kichwa....ambao unaweza kusababishwa na either kuanguka na kujigonga chini/ukutani au kugongwa na mtu mwingine......hapa ili kupata jibu la hakika la kilichotokea lazima kuwe na mambo ya forensic medicine expertise...mfano kupima DNA traces kwa vitu vilivyokuwepo around chumbani n.k...n.k.....kifupi kunahitajika uchunguzi wa kina ili ukweli ujulikane...jambo ambalo sidhani kama kwa TZ yetu litafanyika.....nionavyo watachukua tu short cuts.....kwa vigezo vya kimazingira......na kumtia/kutomtia hatiani huyo binti.
Tukija upande mwingine.......nimesoma gazeti la daily news hapa....soma...http://www.dailynews.co.tz/index.ph...ice-work-on-clues-to-cause-of-kanumba-s-death> Ukisoma hii story ya mkuu wa polisi Kinondoni Charles Kenyela inasema.....kwa maelezo na makovu ya kutoka kwa huyo binti ...inaonyesha marehemu katika ugomzii wao alimpiga kwa panga(michete)Lulu katika sehemu zake za siri.....jambo ambalo anasema kwa sasa Lulu anauguzia majeraha madogo madogo kwenye sehemu zake za siri......Sasa kwa kuangalia hizi info naweza kusema tu hii case ni kubwa sana na inahitaji investigations beyond the just condected postmortem......ili ku rule out homicide au manslaughter au suicide......
 
Unauliza umri wa Lulu
hapo hapo unataka kujua kama Kanumba alibaka

na nyongeza, ushasema kanumba alibaka.

Umecheza nafasi nyingi mno, mtoa mashtaka, mpelelezi, mwanasheria, hakimu, askari magereza, duh hii kiboko.

Nzuri zaidi hata kama marehemu kanumba angembaka, hawezi kufunguliwa mashitaka kwa sababu ameshatangulia zake mbele za haki RIP THE GREAT, sijui anataka nini huyu.
 
Hivi haka si ndio kalifanya party ya kufikisha 18 years?
Yaani kaliaga utoto?
Sasa shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom