Je, kanumba kambaka lulu? Umri wake chini ya miaka 18?

Kwani mwanamke kamili anajua kila kitu? Embu nisaidie mwanaume kamili. . . . .ALIWAONA?




  • [h=6]Nipo kwenye msiba wa kanumba inabidi uje na parachut maana hamna pa kupita... sare ni, kope za kubandika, les wigs, madira trasparent,funguo za gari hata za kabati njoo nazo tu..!![/h]
 
Nje ya mada. Hivi inakuwaje watu wanakubaliana kuwa secret lovers wakati wote ni single????? Mi ndo maana mtu akinambia sina boyfriend/girlfriend wakati namuona hana kasoro yoyote na conclude kuwa ni player (hana permanent)

Umepotea wewe.
 
huu sio mda wa kujadili ilo,tumuombee kwanza,then tumzike na apumzike kwa amani,hayo tujadili next week,eboooo
 
Kwa sie Waislamu, binti wa miaka 14-15 unawowa tu..............keshavunja ungo huyo....................Hebu nendeni huko vijijini muone, kama mtawafungulia mashtaka wanaume waliowowa vibinti vya umri huo, basi magereza yote yatajaa................!
 
huu sio mda wa kujadili ilo,tumuombee kwanza,then tumzike na apumzike kwa amani,hayo tujadili next week,eboooo

maiti aiombewi mkuu! Unaiombea ili iweje/ifanyeje muhimu ni kuombea familia hiliyobaki ipate faraja ya MUNGU ktk kipind iki cha majonzi.
 
  • [h=6]Nipo kwenye msiba wa kanumba inabidi uje na parachut maana hamna pa kupita... sare ni, kope za kubandika, les wigs, madira trasparent,funguo za gari hata za kabati njoo nazo tu..!![/h]

Ahhahahahha. . .Mwanaume kamili ataniruhusu na mie nivae sare?
 
Ahhahahahha. . .Mwanaume kamili ataniruhusu na mie nivae sare?
Hapana, total denied......usitake kufanana na hawa wanaogeuza misibani kama Exhibition grounds, ila nina Mashaka zaidi viongozi wetu waandamizi wa Serikali kuingia mkenge huu wa msiba waKanumba, imefikia hata Bunge kusimama kwa dakika moja kumkumbuka na kumsahau former IGP marehemu Haroun Mahundi!!
 
Hawa viongozi wetu mi hata siwaelewi. Hii inanikumbusha ileee... Obama kashinda urais, Kenya wakafanya sikukuu (hawakwenda kazini) wakati Marekani kwenyewe hawakuwa na muda wa kufanya upuuzi huo. What a shame!
 
Tukiweka ushabiki nje ni kwamba moja kwa moja Marehemu bwana Kanumba alikuwa akimbaka Elizabeth Michael(Lulu) nina uhakika wa 100% hata kama sijasaidia kushika miguu lakini mtu asijeniambia ati Kanumba kaanza mahusiano na Lulu juzi wakati anatimiza umri wa miaka 18 never hakunaga hilo na sitakubali,Sio vizuri kumsema marehemu lakini kutokana na issue ilivyokaaa mengi yatasemwa lakini ukweli utabaki pale Marehemu alikuwa akimdanganya Lulu,na hata kama yey Lulu ndio amekubali moja kwa moja kisheria ni kwamba kamdanganya,tunafahamu watu wazima especially in Afrika tunasema mtoto ni wa wote hata kama mnaishi jirani na ni jirani tu lakini ukimuona mtoto anafanya mambo ya ajabu lazima umkemee au uwahabarishe wazazi wake juu ya jambo alilofanya huyo mwana,na tunafanya hivyo ili kesho likitokea jambo walezi wa yule mlengwa watakumbuka kuwa oooh that time fulani alisema kumbe ni kweli japokuwa tulimpotezea,So by conculution nasema Kanumba alitakiwa awe mlezi wa Elizabeth kwa kuwa yeye alikuwa anafanya nae kazi na sio kuwa wapenzi,Elizabeth angetakiwa awe na mpenzi wa miaka yake lakini hapo hapo pia kama marehemu angegundua pia kama Lulu yuko na mpenzi japokuwa ni rika sawa pia angepaswa kumkemea na kumwambia sio poa na usikimbilie haya mambo kwani utayakuta lkn hakufanya hivyo,na maandiko yanasema mshahara wa dhambi ni mauti japokuwa hapo hapo maandiko yanasema tukisema hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe lakini hapa walikuwa na maana kama unafahamu hii ni dhambi basi lazima usiifanye.
 
  • [h=6]Nipo kwenye msiba wa kanumba inabidi uje na parachut maana hamna pa kupita... sare ni, kope za kubandika, les wigs, madira trasparent,funguo za gari hata za kabati njoo nazo tu..!![/h]

Umesahau na sun glasses.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom