Je JF ingeweka sheria hizi hapa ingekuaje?

1. Hujiungi bila kuweka namba ya simu yako.

2. Kuwa na picha yako halisi au kitambulisho cha nida.

3. Uweke malengo yako humu JF nini.

4. Uweke kazi yako halisi unayofanya naukidanganya huwezi kulog in au kucreate account tungekuwa tunasumbuana akili kweli kwa kejeli na matusi si watu wasingetongozana maana humu kuna sura ya wanyama wa aina mbali mbali wamejificha kwenye ID FEKI MIE hata niweje hata ningeweka postas za picha yangu kukusema vibaya nakusema na vurugu naanzisha
Na nini hasa chanzo cha mawazo yako haya kama si uchawa tu!! Kwendra huko usituambukizie mamoderator wetu ujinga!!!
 
Na nini hasa chanzo cha mawazo yako haya kama si uchawa tu!! Kwendra huko usituambukizie mamoderator wetu ujinga!!!
Kha unahasira humu sio hasira uwe nayo kila mtu na mtazamo wake so lazima wataweka niombe waweke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom