Wewe unaonaje?
mimi nipo dilema mama Wat can i do
mimi nipo dilema mama Wat can i do
Wewe unaonaje?
Mimi navyo elewa mwanamke unamtoa bikira akisha kuwa mke wako.
Sasa dogo wewe umeisha mtoa bikira bado hata hajaingia ndani, sijui kama kuna usalama tena, mana bikira bado iko nje...na huko kuna wanaume kama wewe lazima watanusa harufu tu kama chakula kimeisha iva kiko tayari kuliwa.
Pole sana, anaglieni msitoe bikira wasichana mnao taka kuwaoa, wakuolewa anahifadhiwa, habikiriwi kabla ya kuolewa.
Ndo mke wako huyo,we vipi?
wengi huwa lazima waende nje, labda mpe space aone maisha yalivyo then muwe wote muoane kama ni unampenda kweli. ila ukimkosea tu akaenda nje utajuta maana atasikia raha na kukuona wewe hufai.
haya ni maoni yangu tu kwa jinsi maisha ya siku hizi yalivyo. au kaa chini muombe Mungu wako anaweza kuwa wale wachacheeeeee sana ndani ya ndoa kutulia. na akiendekeza mashoga huko nje unalo pia.