Je Inapendeza kuoa binti uliyemtoa bikira..

Shekispia

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
224
30
Wadau mi nna binti ambaye nimekuwa nae kwenye uhusiano kwa muda mrefu na mi ndo niliyemuintroduce kwenye anga la maraha"yaan kumtoa bikra"..hv itakuwa poa kama ndn atakuwa mama watoto wangu au ndo kufungulia njia wengine wapite...
 
Mmh mambo mengine bwana, haya mi nadhani inawezekana labda kama wewe unatafutiza tu vijisababu ili umuache...
 
hivi unaweza kula mtetea uliyemchinja mwenyewe?

Au ndo atakuwa bata?
 
ulimtoa bikra, umekuwa naye kwenye uhusiano muda mrefu, huenda umemchoka, unatafuta justification ya kumtosa...
 
Mimi navyo elewa mwanamke unamtoa bikira akisha kuwa mke wako.

Sasa dogo wewe umeisha mtoa bikira bado hata hajaingia ndani, sijui kama kuna usalama tena, mana bikira bado iko nje...na huko kuna wanaume kama wewe lazima watanusa harufu tu kama chakula kimeisha iva kiko tayari kuliwa.

Pole sana, anaglieni msitoe bikira wasichana mnao taka kuwaoa, wakuolewa anahifadhiwa, habikiriwi kabla ya kuolewa.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
wengi huwa lazima waende nje, labda mpe space aone maisha yalivyo then muwe wote muoane kama ni unampenda kweli. ila ukimkosea tu akaenda nje utajuta maana atasikia raha na kukuona wewe hufai.

haya ni maoni yangu tu kwa jinsi maisha ya siku hizi yalivyo. au kaa chini muombe Mungu wako anaweza kuwa wale wachacheeeeee sana ndani ya ndoa kutulia. na akiendekeza mashoga huko nje unalo pia.
 
duh nilisahau sema hili labda tayari anatembelea watu huko nje? fatilia hii pia.

itakufurahisha as utakuwa huna shaka tena.
 
Mimi navyo elewa mwanamke unamtoa bikira akisha kuwa mke wako.

Sasa dogo wewe umeisha mtoa bikira bado hata hajaingia ndani, sijui kama kuna usalama tena, mana bikira bado iko nje...na huko kuna wanaume kama wewe lazima watanusa harufu tu kama chakula kimeisha iva kiko tayari kuliwa.

Pole sana, anaglieni msitoe bikira wasichana mnao taka kuwaoa, wakuolewa anahifadhiwa, habikiriwi kabla ya kuolewa.

hiv wewe unamaanisha waliotolewa bikra wameolewa wote . . . . .je wakwako ulikuta ulikuta anakisima nini
 
wengi huwa lazima waende nje, labda mpe space aone maisha yalivyo then muwe wote muoane kama ni unampenda kweli. ila ukimkosea tu akaenda nje utajuta maana atasikia raha na kukuona wewe hufai.

haya ni maoni yangu tu kwa jinsi maisha ya siku hizi yalivyo. au kaa chini muombe Mungu wako anaweza kuwa wale wachacheeeeee sana ndani ya ndoa kutulia. na akiendekeza mashoga huko nje unalo pia.

aah wengi lazma waende nje bila shaka hata kimwana wako hua wanamloweka sasa mmh
 
Wewe unajuwa kumbe huwezi kuiendesha gari toka show room mpaka uuwe umeilipia. Sasa umefanya wizi na watu wa show room si lazima watakudai? Basi lipia halafu uketi nalo.

Mwanamke umesha mharibu kabla huja muowa. Sasa ni vizuri um owe ili awe mama watoto wako. GOOD LUCK.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom