Mwenye penzi la siri kumbe alikuwa na mchumba wake?

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,007
5,446
Wajuba wasalaam!!!

hakika mapenzi yamejaa maajabu (japo si mageni kwa wengine) sijui labda niliwahi kuoa kabala ya kuwafahamu hawa viumbe?? (expirence)

kuna kipindi kama cha mwezi au miezi miwili nili share habari za kua nimepata binti anahitaji penzi la siri
Wasalaam;

Katika harakati zangu na changamoto za mambo ya ndoa si nikalengeshwa bwana si unamuona binti flani hana MTU mcheshi, mwenye adabu, anapendwa na kila mtu na wa mama wengi wangetamani watoto ama ndugu zao wa kiume wamuoe.

Nilipozitazama zile sifa nikajiridhisha ni za kweli. Kidume nikajitosa nika mwaga Sera kumbe mtoto alikua ananitamani kitambo jinsi nilivyokua naishi na x wife wangu.
hapakua na hiyana zaidi ya kusema yes tena big yes.

Tumeanza mahusiano nimegundua ni msiri saana anaogopa hata rafiki yake wa karibu kujua uhusiano wetu.

Nimeshtuka mpaka nawaza pengine ndo mana anasifika ametulia au ni vip hata sielewi.

Anajua Ku handle mwanamume vilivyo japo anaonesha si mzoefu saaana kwenye mambo yetu (X) sa sielewi ntashushiwa kitu chenye ncha Kali tena kama alichonichoma nachoX wife wangu au nitulie na huyu anaesemwa vizuri na ulimwengu mzima japo ana mapenzi ya siri mnoo

Sasa ukweli ni kwamba hisia zangu hazikua za uongo bana kumbe huyu binti aliyehitaji siri alikua na mchumba sijui mpenzi wake ambaye juzi kati jamaa kaenda kutoa mahari na vikao vya harusi vinaanza ikiwa mimi na yeye bado hatuja achana, yaan nawaza miimi namchakata kisawa sawa bila kugharamia alafu kumbe kuna mwamba mwenzangu anagharamia mpaka anaamua kuoa kabisa🤔🤔...Aiseeeh inauma... Sikutegemea ka ntakuja mtendea msela mwenzangu hivi japo nilikua sijui... na nikicheki lazima kwenye sherehe yao nienda daaah ...

kwakweli mi nime tendwa nikafikiri ntapata aliyetulia kwa staili hii kuoa hapana nimeghairi maana nna mwingine nae kila siku anamkana mchumba ake wakati nae kishalipiwa mahari mwezi uliopita mwishoni na wote hawa ni ma church girl and lady.

Sasa kwann nyinyi wanawake mnakubali kuolewa na watu msio wapenda?? kwann mnapoamua kuolewa hammalizi mambo yenu yoote?

it means hawa wanawake naweza endelea wachakata hata wakiwa kwenye ndoa zao japo sina michezo hio...

Ila Dar wanaume wanaume wanaume wanawake sio Binadamu daaaaah🤒🤒
 
Unaweza kufikiri unawapata kirahisi wanawake za watu, kumbe ni hao wanawake wameamua kukutumia kumaliza haja zao.

Kwa hiyo tafakari mkuu waweza ona umepata kumbe umepatwa.
 
Kuishi ndani ya mahusiano kungekua sio changamoto na kusivuruge akili baina ya wapenzi kama kila mmoja angeamua kusema ukweli juu ya mwenzake, kama ni upendo wa matamanio au nyege we sema.

Tatizo siku hizi mahusiano kila mmoja anajaribu kuonesha tabia zitakazo mvuta mwenzake ata kwa kusema uwongo ili afikie lengo lake.
 
Wajuba wasalaam!!!

hakika mapenzi yamejaa maajabu (japo si mageni kwa wengine) sijui labda niliwahi kuoa kabala ya kuwafahamu hawa viumbe?? (expirence)...
Hawa wanawake hawapendi wanaangalia maisha. Wanaweza wasiolewe na bad boy ila wanapenda kuwa na hao bad boys....wee wapelekee moto tuu mbususu wakizileta.

Tulishasema hapana kuoa. Hawa ni wakugegegda tuu na kuzalisha
 
Unaweza kufikiri unawapata kirahisi wanawake za watu, kumbe ni hao wanawake wameamua kukutumia kumaliza haja zao.

Kwa hiyo tafakari mkuu waweza ona umepata kumbe umepatwa.
Nimepatwa wapi wakati nawachinja ki roho mbaya.. Yaaaani sitoi hela yangu mm
 
Hawa wanawake hawapendi wanaangalia maisha. Wanaweza wasiolewe na bad boy ila wanapenda kuwa na hao bad boys....wee wapelekee moto tuu mbususu wakizileta.

Tulishasema hapana kuoa. Hawa ni wakugegegda tuu na kuzalisha
Mi wananigaia bana yaan nikipeleka logde mara ya kwanza zinazofuata wananikaribisha maghetoni kwao bureee nakulishwa juu mi sitoi ata jero
 
Tatizo mnapenda vya bure🙄 mwanamke huduma,sasa nyie kaz yenu ni kumwaga mbegu tu kutuchafua huku mkija kujisifu huku eti nimepata mchumba asiyeniomba hela☹️ jiongezeni bhana ....hakuna mwanamke asiyehitaji huduma mkuu
Nshahudumia saana nikala za uso fala mmoja akawa anapewa bure sasa ni mwendo wa kuchakata bure bure pesa nahudumia watoto wangu
 
Si ulipenda kuchakata bila.kuhudumia?

Acha wanaohudumia waoe mkuu

Kiufupi wewe ni mchepuko ndio maana alikuficha.......
Inamaana ningepanda dau jamaa angepigwa chini??? 😂😂😂 blaza hawa viimbe si wakutetea ukipata nafasi we chakata bila kujitoa damu maana Inawezekana ukawala bureee
 
The point is "ANAWAGONGA" yaani ni "WASALITI" kwa wapenzi wao.

#YNWA
Yaan umenielewa vizuri mkuu..
kila nikiwauliza huna mtu wanasema hawana wakati watu wao wakaribu wanasema wanao mpaka ivi kutolewa mahari ndo nashtuka na yoote kwasababu mimi bado sija divorce na mabinti wanaonifahamu
 
Back
Top Bottom