RubenM
Senior Member
- Apr 15, 2009
- 131
- 10
No!mcmu umekua mbaya 2 kwa barca,ila sio kusema eti ndo mwisho wao!
Haiwezi kuwa mwisho... Kabla ya kuwa. Bingwa alivuliwa na inter hivyo hivyo
No!mcmu umekua mbaya 2 kwa barca,ila sio kusema eti ndo mwisho wao!
kama umeanza kuifahamu Barca jana utasema huu ndio mwisho
Hakika ameijua jana
Wamepoteza michezo mitatu iliyopita....
Wameondolewa kwenye UEFA champions league...
Wamezidiwa Point nyingi na dalali za kuvuliwa ubingwa wa la liga ni dhahiri...
JE HUU NDIO MWISHO WA BARCELONA??
hakuna aliyechukua ubingwa Wa UEFA Mara mbili mfululizo tangu mashindano haya mapya yaanze, na hakuna timu iliyowahi kuchukua ubingwa kutoka kundi alilokuwa Barcelona hata Mara moja tangu mashindano haya yaanze..
JE HISTORIA INASEMA NA INAWEZA KUTUONGOZA KTK HILOOO????
NEXT SEASON, ingawa bila mabadiliko ktk safu ya mbele na Kocha bila kuachac watu muhimu nje na kumweka Tello mmmh itakuwa bado mpaka abadilishe pale mbele apate TALL STRIKERS
Barca hawana plan b,plan-A yao ya kumiliki mpira na kupenetrate ilishindwa kabisa jana coz chelsea walidefend mwanzo mwisho...kifupi ni kwamba walicho onyesha jana ndo mwisho wa uwezo wao..
Tatizo la Barça kwa sasa ni mabeki wazuri wenye kasi, basi.. Hiyo habari ya Barça kutokuwa na plani b tulianza kuisikia mwaka ule man u walipopaki basi huko Camp Nou halafu wakawatoa kwa goli la Scholes huko OT. Wanaokariri wakaibuka tena mwaka juzi Inter chini ya Mourinho ilipowatoa. Cha ajabu ni kuwa kila Barça inapotolewa ikirudi inarudi na style ileile na inazikandamiza tena vibaya timu pinzani! Wazee wa kukariri tuambieni, ni kweli kuwa timu zitakazopangwa na Barça CL ijayo zitakuwa na mteremko kwa sababu 'tactic zao hazina maana' na 'zama zao zimeisha?' Timu yoyote itakayocheza mfumo wa 10-0-0 na baadaye 9-0-0 lazima itaisumbua timu pinzani hata ikiwa bora kuliko Barça.