punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 450
Unajua mkuu, mara nyingine ukifuatilia maoni na mtazamo wa waTz ktk mambo mbalimbali iwe michezo, siasa nk, unabaki kuwahurumia tu! Mfano jaribu kutafuta Di Mateo kasema nini juu ya uchizi aliofanya Terry, hlf angalia Terry mwenyewe kasema nini, uje ulinganishe na mabandiko ya wengi humu, achana na wa mitaani angalia humu tu, hlf jiulize hao ndo wana mwanga angalau kidogo!!! Ndo maana utaona hata wachezaji wa bongo wenye tabia za kiporipori bado wana watetezi wa kutosha! Na soka letu linasonga mbele kwa kasi kubwa!!!Mkuu punaine-red. hapo kwenye red hata mimi naona ndio penye tatizo kwa Barca. Ukiangalia goli la pili la Ronaldo siku walipocheza na RM Ronald aliweza kufunga kwa sababu aliwazidi mbio mabeki wa Barca. Na sio kwamba Barca walizembea ku overcome counter attacks za RM.