Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 213
Huyu Mama inabidi abadilishe beki tatu.... Akuletee mbaya na mweusi kama kiwi! Beki tatu haruhusiwi sio tu kukuchemshia maji, hata kutandika kitanda chako na Mkeo. Akija na kanga moja nyepesi na wewe Kaka Kiiza ulivyo, Si itakuwa balaa!!! Unaweza ukala mvua 30. mkeo aliyaona hayo ndio maana anakaba kila kona.