Je Housegirl naye?

wewe umekatika mikono? jamani hata kuweka maji bafuni inakuwa tabu! huyo mama kafanya vizuri kuwa transfer hao mana baba analalamikia mbinu zake kuzimwa...hakuna lolote.
Sasa mbona wewe unamuwekea mumeo wakati ana mikono? Swali langu bado hujalijibu, kuna ubaya gani wa housegirl kumuwekea baba maji ya kuoga bafuni? Huko bafuni kwani kuna tatizo gani?
 
Sasa mbona wewe unamuwekea mumeo wakati ana mikono? Swali langu bado hujalijibu, kuna ubaya gani wa housegirl kumuwekea baba maji ya kuoga bafuni? Huko bafuni kwani kuna tatizo gani?
Hawekewi mtu maji bafuni na housegirl.PERIOD!
 
Nina wasiwasi ulishawahi kumkonyeza hg ndio akakuona ila hakuleta neno au hg anaanza kunawili kumshinda mama, luk vere kaka inaweza leta ufa hio hali, hg ni hg tu sio mke mheshimu na kumtii mkeo.
 
Usimlaumu sana mama mzee anachukua tahadhali tu kabla ya ajali! leo akianza kupeleka maji bafuni usione tabu kesho atakutandikia kitanda hautaona tabu, kisha atakufulia underwe.... hutaona tabu na mwisho aaaa... si unajua maumivu ya kichwa huanza poooole pole na kisha.....
 
Sasa mbona wewe unamuwekea mumeo wakati ana mikono? Swali langu bado hujalijibu, kuna ubaya gani wa housegirl kumuwekea baba maji ya kuoga bafuni? Huko bafuni kwani kuna tatizo gani?

mbona nilishakujibu?...sio jukumu lake, ni langu kama mke.
 
Mtoa mada hii ni huyu huyu ambaye ametoa thread nyingine juu ya Mkewe sijui Mpenzi kulazimisha kutaka kusoma msg zake...... Mama anabana kila mahali maana yeye inaelekea ni kiwembe. Sasa unatuuliza nini wakati unajua kabisa mama akikupa fursa kidogo unafanya kweli? Unataka tukushaurije sisi?
 
labda hg nae anaonyesha dalili za kumtani baba mwenye nyumba, mama nae kisha ona hilo akaaanza kukaba kona zote,
 
Hapo ndipo tunashindwa kuelewana. Kama wewe unaweza kumuwekea baba yako maji bafuni wakati mama hayupo. Kuna ubaya gani housegirl akifanya hivyo? Au ulivyomuwekea baba yako maji bafuni ulipata ujauzito?
HG ni mtu baki tofauti na mimi kumuwekea baba yangu halafu mbona umekazania sana mmh! nampa pole mkeo nadhani anaibiwa na Hg
 
Namimi ninalipa mshahara!!!

aiseee; mshukuru sana mkeo kwani anakupunguzia matatizo!!

Note: ukiona hivyo mkeo hakuamini tena inawezekana hata mkiwa nae wewe shingo yako ni kama feni; lol! pole sana!
 
Sasa mbona wewe unamuwekea mumeo wakati ana mikono? Swali langu bado hujalijibu, kuna ubaya gani wa housegirl kumuwekea baba maji ya kuoga bafuni? Huko bafuni kwani kuna tatizo gani?

kama mke ni nina haki ya kukuwekea maji bafuni, hata kukuogesha ukipenda na chakula nitakulisha ukipenda! lakini for housegirl strongly no!
 
Inaelekea wewe ulikuwa unatafuta mwanya tu utafune hiyo 'hybrid'. Nampa hongera mama kwa kukaba hadi penati.
 
Wadau kuna mahali sipaelewielewi hivi!Hebu tutupie macho nako!

Mke kaleta House girl kutoka huko Kondoa mpakani mwa singida mchanganyiko na mnyiramba na Ukoo waki iraqy!!!Nadhani umenielewa!Hiyo ni hybrd!
:behindsofa:

Jinsi unavosifia... yaelekea umekaa kifatakifataki na mkeo hata kujuta siku za usoni... analinda 'embe' zake zisichumwe!!:pound:
 
Huyu jamaa ni muhuni tu. Anamsifia hg, mkewe kamstukia kisha anataka simpathy toka kwetu, duh!!!
 
Wadau kuna mahali sipaelewielewi hivi!Hebu tutupie macho nako!

Mke kaleta House girl kutoka huko Kondoa mpakani mwa singida mchanganyiko na mnyiramba na Ukoo waki iraqy!!!Nadhani umenielewa!Hiyo ni hybrd..............Lakini cha ajabu mke eti hataki nimtume kunichemshia maji wala kumtuma kazi zinazofanana na hizo ukizingatia mimi narudi usiku kutizama worldcup!hataki yeye afungue mlango na baya zaidi yeye nimtumishi akienda kazi za usiku basi lazima huyo wife hatafanya mipango mapema kuwapeleka watoto kwa mama mkwe au kwetu kwakisingizio bibiyao kawaita nahousegirl naye anaondoka!!!!Hivyo nakuwa napata tabu sina wakumtuma Hapo inanibidi nipakuwe mwenyewe vitu kama hivyo!!!Namimi ninalipa mshahara!!!
:behindsofa:

....Ssssshhhhhhh!, ukila na kipofu usimguse mkono wewe!
 
yaani wanamume mna balaa...chakula kishapikwa huiwezi kujipakulia????? mbona umezidi we nawe argggh! huyo mkeo atakuwa ashakujua tabia zako za kuvizia hg ndio anajilinda......uvivu mwingine nao umekiuka mipaka!
 
Labda mama kakushtukia wewe ni mzee hapitiwi, anaogopa kulizwa. "Abiria chunga mzigo wako"!!!!!!!
 
mama anajua weakness ya mumewe ......................kaona bora amuepushie shari. pia anaona bora atimize wajibu wake kama mke, nao ni kumtumikia mume wake na sio kumuachia msichana wa kazi amtumikie.

msichana wa kazi anamtumikia mama...................na mama anamtumikia baba..............nafikiri mama huyo yupo sahihi kupita maelezo, anafaa kuigwa.
 
Hapo ndipo tunashindwa kuelewana. Kama wewe unaweza kumuwekea baba yako maji bafuni wakati mama hayupo. Kuna ubaya gani housegirl akifanya hivyo? Au ulivyomuwekea baba yako maji bafuni ulipata ujauzito?

Asprin mungu akubariki kwa uelewa wako unamuelewa mtu mapema lakini Nyamayao inaonekana atakikutoa msaada penye tatizo kazi kukandamiza penye ukweli hili ukweli usitambulike!Ila nawashukuru wote kwa mawazo yenu nitachambua nakuyafanyia kazi moja baada ya jingine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom