commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Wadau kutokana na tunachokiona ,leo serikali imejitokeza na kutuma ujumbe mkubwa ukiwahusisha mawaziri,mwanasheria mkuu wa serikali pamoia na makada waandamizi wa ccm kwenda kwenye vituo vya luninga nchini kuitetea rasimu ya katiba iliyokataliwa na wananchi.
*JE NI DALILI ZA SERIKALI YA CCM KUINGIWA HOFU NA TANGAZO LA AZMA YA CHADEMA KUITISHA MAANDAMANO YA NCHI NZIMA KUPINGA MUSWADA HUO???.
*JE NI DALILI ZA SERIKALI YA CCM KUINGIWA HOFU NA TANGAZO LA AZMA YA CHADEMA KUITISHA MAANDAMANO YA NCHI NZIMA KUPINGA MUSWADA HUO???.